Kumekuepo na changamoto kubwa hasa nyakati za mvua kama hizi ambapo wilaya nzima ya liwale imefungika kutokana na Bara Bara zake kuu kutopitika.
Hali hii inapelekea ukosefu wa bidhaa na huduma muhimu kwa wakati mfano huduma za dharura kama Gari za wagonjwa bidhaa Kama matunda mboga mboga na...
Kuhusu mgawanyo wa walimu mm nakukatalia...walimu wanaoajiriwa ni wachache na wengi wao hupelekwa vijijini...swala linakuja ni wengi kuhama kutokana na mazingira MAGUMU MNO ya kazi ...mfano mm nipo liwale huku mahali tembo wanazurura vijijini,barabara lami wilaya nzima haizidi km5 na ni makao...
Leo nimepanda na hii Mada, baada kuona changamoto ilo kita mizizi ya kukatika umeme.licha ya kwamba wamepewa adi mwenzi March 2024 kutatua kikamilifu tatizo la kukosekana umeme wa kutosha.
TANESCO wamejenga mazoea ya kuzima na kuwasha umeme mara kwa mara bila ratiba maalumu, inaweza ikatokea...
Ukifeli ukarudi diploma maana yake wewe ni mvivu au hukua serious huko advance niamini mimi....huwezi faulu form four ukashindwa kufaulu advance unless kuwe na tatizo mahali
Elimu ya advance ni ya watu serious,diploma ni ya wavivu,na ni ghali zaidi hasa kwa waliolengwa kunufaika na HESLB na imechakachuliwa sana siku hizi,,,mind u that unaweza ukaenda diploma pia ukafeli usihitimu
Nimeona watu wengi Wana judge advanced level bila kujua Nia ya hiyo level...
1.advanced level ni muhimu sana kuliko ata ordinary level katika kutengeneza misingi ya taaluma mf sayansi ,Sanaa au biashara mtu let's say akitokea o level akaenda co ni ngumu kuwa na uelewa mpana juu ya associate...
Sometimes truth has to be told that most of we Africans think that government is able to solve each problem we are facing while we citizens are sleeping. You might find most of rural areas people are lazy and living comfortably under extreme poverty....I am kilimanjaro dweller who currently...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.