Huu ndio uhalisia wa Bongo,hata kwenye ukaguzi wa miradi ikitokea mkaguliwa hujawatengea fungu wakaguzi wa mradi utaonja joto la jiwe,asilimia kubwa wanaosemwa miradi imefanyika chini ya kiwango huwa wanafeli hili.
Ukituliza kichwa utajua wapo sahihi na ukituliza zaidi kichwa utazidi kugundua kuwa dini ni utapeli.
Ametuchanganya sehemu moja na shetani na uwezo wa kumtoa anao na sisi uwezo wa kumtoa hatuna (katuumbia udhaifu) mwisho aje atuadhibu kwa kurubuniwa na kiumbe ambaye kiuwezo katuacha mbali...
Badilikeni hizi pilika kipindi kile Tanzania shule kwa wananchi bado ndogo zingewalipa,kwa sasa mnajisumbua na kujidhalilisha na kila hatua mnayopiga kwa kutumia namna yenu hii ya kuwaza mnazidi kuharibu,wananchi wengi sahivi shule ipo na wanajua kuchanganua mambo.
Mtahangaika sana.
Rafiki wa kweli wa wewe ni wewe na sio kwa asilimia zote,hakuna kiumbe mwingine iwe wa kufikirika au sio wa kufirika anaweza kuwa rafiki wa kweli wa wewe.
Hakuna kisichokuwa na mwisho,
Udhalimu wao utafika kikomo,furaha yao itafika kikomo.
Vilio vya Wananchi vitafika mwisho.
Kuimba kupokezana.
Haiwezi ikawa upande wao tu mara zote au wa wananchi tu mara zote.
Kwa akili zako zinazoingia na kutoka ulidhani mtapangia mpaka BBC na media zote za nje nini waandike na nini wasiandike
Na bado si alienda ule upande mwingine pinzani wa hizo Media,serikali haramu itapigwa virungu kiasi kwamba haitaweza kusimama wala kulala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.