Recent content by Four

  1. Four

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Njoo huku Arusha,kuna sehemu inaitwa Mianzini mataa ujionee maajabu,huu mtaa hauna barabara maalum ya umaa Unaweza kufuata barabara ukijua ni barabara ambayo itakufikisha sehemu unakoenda mwisho wa siku utaishia mlangoni kwa mtu
  2. Four

    JamiiForums Tanzania Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

    Maisha sio lazima usome, baba yangu mdogo, alikuw hajui hata kuandika A lakini maisha yake yalikuwa murua sana
  3. Four

    JamiiForums Tanzania Hustle Smart: Vijana Tuamke – Mtaji Mdogo, Ndoto Kubwa

    Bali wapi???
  4. Four

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimetuma pesa Ufaransa

    Dah kitambo sana,nilifanikiwa bwana malipo yaliyofanyika na kitabu nilipata Asanteni
  5. Four

    JamiiForums Tanzania Baraza la kiislamu Tanzania (BAKWATA), Mbona mpo kimya juu ya content za ovyo huko TikTok zinazolenga mfungo Wa Ramadhani

    Ndio Kwa sababu ni mimi na ni mwili wangu, hilo linawezekana
  6. Four

    JamiiForums Tanzania Baraza la kiislamu Tanzania (BAKWATA), Mbona mpo kimya juu ya content za ovyo huko TikTok zinazolenga mfungo Wa Ramadhani

    Acha wivu wewe,waacha wafanye watakacho sisi ni binadamu huru
  7. Four

    JamiiForums Tanzania Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

    Maziwa hamna kitu hapa
  8. Four

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye wateja wa uhakika

    Nitafute mwamba
  9. Four

    JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Binadamu hatuzawaliwa kuteseka
  10. Four

    JamiiForums Tanzania Wadau wale watu wa online mkuje hapa nahitaj msaada

    Hiyo inanifa mkuu
  11. Four

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

    Hii hali hata mimi inanitesa sana
  12. Four

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

    Utaweka msosi wa maana ukiwa umejiajili mkuu hizi kazi za watu ni mbaya sana hazina muda maalum wa kusitishwa
  13. Four

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

    So utakuwa unafanyia tumbo bila maendeleo
  14. Four

    JamiiForums Tanzania Miaka nenda rudi sina hata pikipiki na pesa huwa napata nyingi tu. Huwa najiuliza nini kinatokea. Yawezekana napigwa kipapai?

    Me mwenyewe age 28 sasa hakuna hustle miaka 8 yote, hakuna nilichofanya zaidi ya kununua kiwanja tu, nimeamua kutulia sifanyi tena kazi nataka kujua alichinipangia Mungu ni kipi
Back
Top Bottom