Kuna uzi umerushwa sn jana kwa headings tofaututofauti kuwa Mbowe yuko USA na Slaa.Jamani, hivi mnamjua Mbowe vizuri ?,bahati nzuri walioambiwa kuwa ndio wamempokea Mbowe na Slaa walikanusha mapema.Hiki kipindi tulichoko ni lala salama ,uongo,uzushi nk vitatumika sn kutuvunja moyo.,lkn tukiwa...