Recent content by Foum Jnr

  1. Foum Jnr

    Mgogoro wa Zanzibar usuluhishwe na Koffi Annan na Luis Ocampo

    Hakuna msuluhishi mwenye nguvu zaidi ya wale wenye jeshi na linalowapa nguvu Jecha na genge lake kufanya wanayoyataka. Jecha ni nani hasa aweze kufanya alichokifanya kama si sababu ya jeshi na mkuu wake aliena bias latika maamuzi yalio na haki? Kama wasuluhishi wangapi wamekuja na mbona...
  2. Foum Jnr

    Mgogoro wa Zanzibar usuluhishwe na Koffi Annan na Luis Ocampo

    Swahib kumbe umetufahamu.. Uzuri wa uchaguzi mkuu wa oct 2015 tumedhihirisha beyond any reasonable doubt kwamba wazanzibari walio wengi hawakubaliana na mengi yanayofanywa na zaidi wamefungwa mikono katika kufanya maamuzi. Mkoloni kwa sasa ni ccm na ni katili zaidi ya mkoloni aliepita, ma...
  3. Foum Jnr

    Dhihaka ya "wrong or right my counry first"

    Tanzania tumekuwa na mizozo katika kila sehemu tunayokuwa nayo karibu, msururu wa migogoro unazidi kuongezeka, heshima baina yetu haipo na hata umoja tunaoupigia kelele na kuunadi kama ndio urithi wa Mwalimu haupo. Ndani ya nchi hatutendeani haki, hatuheshimiani, wala hatuna ustaarabu wa...
  4. Foum Jnr

    Balozi Ali na hoja ya Coalition Zanzibar

    Kwetu inawezekana Moja kati ya hoja kubwa za sasa ni mfumo mzima wa serikali ya umoja iliopo hapa visiwani ambao kumekuwa na jitihada nyingi za kuufanya uonekane ukiwa haufai na wa kuondoshwa. Mifano mikubwa inayotolewa ni mfumo wa serikali ya Ujarumani ambayo kwa leo nimeona ipo haja ya...
  5. Foum Jnr

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Hahahaha kama kawaida controversy ya akili nyingi mantiki haipo. Bilioni 300 zinaibiwa na mahakimu kushiriki halafu katiba ivunjwe na mahakama kuingilia mamlaka yasio husu halafu still bado tukafungue kesi mahakamani kupinga order ya mahakama. Wakujuzulu ni waliovunja katiba ya kuingilia...
  6. Foum Jnr

    Mfahamu marehemu Sheikh Ali Muhsin Barwani (1919 - 2006)

    Nafaidika sana na namna ya history unavyoiweka sawa.. Sijui umepata kulisikia hili jina la Said Soud , kule kwetu kaskazini Unguja akisifika sana na nafikiri ni royal family ya wakati ule au mmoja wa viongozi wa serikali kabla ya mapinduzi. Sifa zake inaonekana hazikuwa nzuri, lakini nimeshindwa...
  7. Foum Jnr

    Hamadi Rashidi live eatv

    Hasira zake kwa CUF kazigeuza kuwa sabotage kwa watu wa Wawi waliomchaguwa. Hatasahaulikankwa kuurejesha nyuma movement kubwa iliokuwa na nafasi nzuri ya muungano safi wenye maridhiano makubwa. Hamad Rashid, 2015 haiko mbali. Lura zako zinahesabika si zaidi ya ishirini.
  8. Foum Jnr

    Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

    Tanzania kwa sasa imemeguka. Inahitaji serikali ya pamoja kama mpito wa kuelekea 2020 ambapo uchaguzi hasa wa sera utafanyika baada ya kuing'oa madarakani chama kilichokewa sifa na kusahau uadilifu na haki katika uongozi. wapo wasafi wenye uwezo wa uongozi na kuchangia umoja na msukumo mpya wa...
  9. Foum Jnr

    Sijawahi kuona kitu kama hiki

    Heshima gani hizi za kuwatukuuza wachache .. Ni ukoloni mambo leo, waafrika wachache kubeba utukufu wa kunyenyekewa na waafrika wanyonge.. Hii si heshima ni udhalilishaji
  10. Foum Jnr

    CV ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar

    Hahahaaha
  11. Foum Jnr

    CCM wajipanga kumjibu Warioba

    Sijashangaa na majibu ya kikwete.. Ni yale yale yaliojaa vijembe badala ya facts za uhakika za kuwajibu wananchi. Hakuna refu lisilo na mwisho, narudia tena adui wa muungano si wazanzibari wala tanganyika, ni sumu inayomwagwa na ccm kuhakikisha mfarakano baina yetu ili kututoa katika mada na...
  12. Foum Jnr

    Tanganyika ifikirie kuinunua Zanzibar kama option ktk suluhisho la muungano

    Limekushindeni jimbo la kalengwa itakuwa Zanzibar.. Matap tap na gongo zinakuhangaisha.. Penguins Kama wewe pengine senti Huns mfukoni the teh teh
  13. Foum Jnr

    Tanganyika ifikirie kuinunua Zanzibar kama option ktk suluhisho la muungano

    Kwa utajiri gain hata mununue kisiwa . Mungeanza at least kuhakikisha umaskini unapungua kwa population inayoishi kwa less than a dollar a day, mukahakikisha elimu kwa wote, afya, maji, umeme na huduma za msingi kwa wananchi bear in mind ni nchi miongoni mwa masikini duniani.. Mungelianza at...
  14. Foum Jnr

    Pendekezo: Kwenye Uchaguzi Mkuu kuwe na 'kura ya wazi'

    hahahaha watashindwa kura ya wazi kwenye vyama vyao seuze uchaguzi mkuu, ukiona ccm kashikilia uwazi uje ana lake jambo. hoja ya kura za wazi zingeanzwa kwao ndani ya uchaguzi wa vyama vyao..
  15. Foum Jnr

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Upigaji wa kura wa siri ndio suluhisho pekee litakalowapa uhuru wajumbe kufanya maamuzi bila ya shinikizo au vitisho. Khofu hasa ya nini kushinikiza watu kupiga kura kwa uwazi huku tayari mushaweka vitisho vya kuwafukuza, na kuwa brand wasaliti? Hivi tumeamua kubadili katiba ili kunyosheana...
Back
Top Bottom