Hamadi Rashidi live eatv

Hamadi Rashidi live eatv

Kuna swali la makamu wa kwanza rais wa zanzibar maalim sefu kuwa kuna wawakilishi wamehesabiwa kwenye kundi la 201 na upande mwingine kapiga kama mwakilishi hapa ndo patamu na rashidi sura yake inaonyesha kuna kitu anajua na upande mwingine hofu kubwa inamtanda anaogopa kuusema huo ukweli ngoja tuendelee kumlilia MUNGU ili atufunulie ukweli na tukiomba kwa nia njema ya kujua ukweli nakuambia MUNGU ataweka kila kitu peupe.
 
Kuna swali la makamu wa kwanza rais wa zanzibar maalim sefu kuwa kuna wawakilishi wamehesabiwa kwenye kundi la 201 na upande mwingine kapiga kama mwakilishi hapa ndo patamu na rashidi sura yake inaonyesha kuna kitu anajua na upande mwingine hofu kubwa inamtanda anaogopa kuusema huo ukweli ngoja tuendelee kumlilia MUNGU ili atufunulie ukweli na tukiomba kwa nia njema ya kujua ukweli nakuambia MUNGU ataweka kila kitu peupe.
mkuu kilichofanyika zanzibar ni zaidi ya hujuma, yaani wazanzibar wamechakachuliwa waziwazi, na aliyeongoza uchakachuaji huo ni hamad rashidi na maccm ya zanziber!
 
Mbunge wa Wawi mh. Hamadi Rashidi yuko live katika kituo cha EATV katika kipindi cha hot mix. Stay tuned.

Njaa mbaya sana huyu jamaa hamad alikuwa anaongea kwa kujiamini eti waliopiga kura BMK toka zanzibar ni 156 lakini baada ya kuonyeshwa taarifa ya katibu wa bunge inayoonyesha wapiga kura walikuwa jumla 154, badala ya kujibu hoja kwa nini kuna hiyo tofauti amebaki anaanza kujikanyaga na kusema hawa ukawa walitoka bungeni wanalalamika nini. HII maana yake ni kwamba 2/3 haikupatikana kwa haki
 
Huyu hamad kauza zanzibar kwa laki 3 wawi hawataki hata kumuona akae hukuhuku dar zanzibar tunamtenga
 
Huyo mwachani tu ni msaliti wa demokrasia kwa Wazanzibar na pia kwa Tanzania kwa ujumla. Mtu huyu ni wa kupuuzwa kabisa hafai hata kuwa mume kwa kuwa kuwa mume ni kuwa kiongozi wa kaya.
 
Zanzibar haitakuwa huru mpaka MaCCM yang`oke Bara. Wazanzibari wanavurugwa na MaCCM ya Bara kwa kushirikiana na Wazanzibari wachache wasaliti na wanaoendekeza njaa kama huyu Dogo Hamad.
 
hahaaa wakuu wa jf nimeona kweli anabwabwaja maneno haelewi hatawaliopiga kura. anasema kitabu chake kinaonyesha wajumbe 156 ndio waliopiga kura ila tovuti ya bunge imeonyesha 154. Duuh kwa kweli nimeamini njia ya mwongo ni fupi saaana. sita aelezee hii imekaaje.
 
Hasira zake kwa CUF kazigeuza kuwa sabotage kwa watu wa Wawi waliomchaguwa. Hatasahaulikankwa kuurejesha nyuma movement kubwa iliokuwa na nafasi nzuri ya muungano safi wenye maridhiano makubwa. Hamad Rashid, 2015 haiko mbali. Lura zako zinahesabika si zaidi ya ishirini.
 
Hivi alisharudi jimboni kwake kwenda kuwaeleza hayo anaowawakilisha, au yuko bongo anatumbua zile posho za BMK?
 
Ni dalali wa Zanzibar anapoteza mda tu. amekwisha kisiasa
 
Afadhali nimsikilize Kingunge kuliko Hamad Rashid. Huyu na wenzake wa namna yake ni hayawani wakubwa.

Hawawafai CCM wala wapinzani. Karibuni alikuwa anasema CCM mbaya, CUF nzuri, leo CUF mbaya bali CCM nzuri. Mijitu ya namna hii haifai kwa lolote, maana haieleweki na wala haiaminiki kwa chochote. Ogopa kama ukoma watu vigeugeu. Hawa ni watu wanaotumikia matumbo yao.

Nitashangaa chama kitakachompokea huyu mnafiki Rashid. Rashid na Sita watu ni watu wa kapu moja. Sita leo akifukuzwa CCM, atahamia upinzani na kutoa kila aina ya tusi dhidi ya CCM. Wachumia tumbo ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom