Wakuu habari za Asubuhi.
TANAPA wametoa majina ya interview na tarehe husika mdogo wangu ameoangiwa kuifanya hifadhi ya mto wa mbu karatu Arusha kwa post ya udereva please mwenye ujuzi wowote wa namna interview hizo zinakuwa naomba aseme hapa kupata Ushauri.
0742896907
Sasa wengine ukiingia kweny profile kuna ujumbe wasema "be patient the system is still running for selection process"
Inakuaje hapo jamn weny ujuz mtujuze matumain ya kuchaguliwa yapo ama!
Aloooo nacte watu tuna two zetu nyeupe mmetuacha alooooo kuwen seriously tuliacha kwenda advance af now mnatuletea songombingo hizo alooooo mtufikirie bac angalau tufarjike na sie
Nacte u are letting down students and their parents; we were expecting the results to be out today but it's so much surprised that till this moment we hear nothing from you, we are disappointed with this cennaria of being Quite
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.