kuna mmoja nimemfatilia sana aise, mara anichukie, mara aniblock, mara ale pesa zangu kizembe tu, nikawa najipa matumaini huku nikiamini mke namtafuta.....ikawa kila ninavozidi kumzoea nikaona ni mtumiaji zaidi, sio kama anavojichukulia, "you know", zinakua kibao wakati umri unaenda...