Recent content by fortunatus mselle

  1. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Wadau habari za wakati......

    Naombeni msaada kwa hili kwa wenye uelewa nalo,Mimi ninasoma accounting sijui chochote kuhusu computer program na coding. Nikitaka kujifunza hivo vitu nianzie wapi wadau.
  2. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Wabunge, wasomi waja juu CHADEMA kutoenzi demokrasia uchaguzi EALA

    Ujajib hoja mkuu ........kilichofanyika na chadema cyo sahihi lazma tukubalii kama mtakataa basii mtakuaa amna tofauti na mkuluu na udicteta wakee
  3. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Ni kozi zipi za biashara zinatolewa IFM and DIT ngazi ya cheti?

    Ifm kuna accountaning banking an finance insuarance management social protection it na computer sience
  4. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Uchaguzi Kanda ya Kaskazini Waahiriswa

    Mbona habar aijatuliaa mkuu sabab za kuhairisha ni zipi na kwann uongozi wa tanga umevunjwa mkuu naomba kufaham
  5. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Uchaguzi Kanda ya Kaskazini Waahiriswa

    Tumia akili japo kidogo itakusaidiaa
  6. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Zitto ni msaliti wa watanzania asiye na uchungu na nchi hii zaidi ya tumbo lake

    Unaonekanaq upendi serikali ikifanikiwa kufanya jamboo mkuu........iyo ni tan moja ivi aumii kwa nchii kuibiwaa asee
  7. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwana-CCM hakika leo leo ningehama chama

    Usiandike tuu ili uwe umeandikaa lazma ujitathimini je unaweza kulifanya ilo jambo??? Cyo tuu unakosa au kusema wenzioo ilhali ww mwenyewe huna tofauti naoo nikukumbushe tuu Mwaka 2015,lowasa alijiunga na chadema akitokea ccm aikupita wiki mwenyekit wenu bwana mbowe akashiniza apitishwe kuwa...
  8. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge kugoma kuitumbua Kamati ya Madini, Kwa aibu hii ya makontena ajiuzulu uspika

    Blazaa bugdet yetu aitegemeii kwa asilimiaa75 noooop kasome bugdet ya mwaka janaa vizur Ila uko kwingine nakuunga mkunoo
  9. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Mauzo soko ya hisa Dar es Salaam yashuka kutoka bilioni 32 hadi billion 3.3

    Mkuu tuachane na siasa .........tupeane possible factors zilizosababishaa angu kubwa namna hii Wengine tunataka kujifunzaa kuna mmoja katoa maoni kuwa pale kunapokuwepo na initial public offer(IPO) mauzo ya soko la hisa yanashuka.......na ni kweli vodacom wametoa IPO saaa cjuii ww una wazo gan...
  10. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Ubunge Afrika Mashariki: Mgogoro Mzito ndani ya CHADEMA waibuka

    Jibu hoja mkuu usifananishe matukioo......uwez fanya kosa na kusema ujafanya kisa kuna mwenzio kafanya alaf ajafanyiwa kituu....... Ccm ilifanya sijui aikufanya ila tuseme ilifanya ili twende sawa........ccm baada ya kufanya ivoo tukapiga kelele nilitegea chama kinachohubir democrasia kiwe mfano...
  11. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Naungana na ww kulaani pia nakupongeza kwa hatua ulizochukua kama kiongozi mwenye dhamana..........nakukumbusha tu clouds walivamiwa na bunduki usiku na watangazaji wakatishiwa kupelekwa jela na kupewa kesi za madawa ya kulevya Kama kiongozi mwenye dhamana pia agiza jeshi lako likawakate...
  12. fortunatus mselle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi: Wimbo wa “I’m sorry JK” usichezwe popote wala kusambazwa, sitahusika kwa chochote

    Hiphop ni vitendoo cyo manenoo ........kujenga jamii na kuikomboaa jamii inaitaji moyo zaidi ya vile vina inavyofikiriwaaaaa
  13. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli, Anza na Kusaini Hati za Wote Waliohukumiwa Kifo, Wanyongwe Haraka Haraka Mpaka..

    Uyo ni pascal yupi jamanii maana cjamwelewaa anataka nn katika hii hojaa
  14. fortunatus mselle

    JamiiForums Tanzania Neno la Mungu kuhusu pombe

    Bibilia ipo moja tuu kama kuna inginee ni imani mpya siyo wakristoo
Back
Top Bottom