CHADEMA: Uchaguzi Kanda ya Kaskazini Waahiriswa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Uchaguzi wa Kanda Ya kaskazini uliokuwa ufanyike leo Jijini Tanga Umehairishwa Mpaka hapo utakapotangazwa tena na Uongozi wote wa mkoa wa Tanga umevunjwa
 
Attachments

  • IMG-20170329-WA0059[1].jpg
    IMG-20170329-WA0059[1].jpg
    38.6 KB · Views: 40
  • IMG-20170329-WA0060[1].jpg
    IMG-20170329-WA0060[1].jpg
    30.2 KB · Views: 31
Uchaguzi unavunjwa
Kwani kuna uvamizi wowote kutoka kwa mwanakoromije kutoka Koromije..??
 
Uchaguzi wa Kanda Ya kaskazini uliokuwa ufanyike leo Jijini Tanga Umehairishwa Mpaka hapo utakapotangazwa tena na Uongozi wote wa mkoa wa Tanga umevunjwa
Kisa mwenye kigoda hamtaki Ndesapesa anataka watu wa kuwaendesha kama gari bovu ukitaka kutofautiana na mwenye Sacos yake umzidi akiri au mzidi pesa kisha mtumia Ndesa sasa hamtaki tena huyu mzee wa mbwii ana laana.
 
Mkuu ungetupa sababu zilizopelekea uchaguzi kusogezwa mbele na kwani uongozi wa mkoa wa tanga umevunjwa
 
Kisa mwenye kigoda hamtaki Ndesapesa anataka watu wa kuwaendesha kama gari bovu ukitaka kutofautiana na mwenye Sacos yake umzidi akiri au mzidi pesa kisha mtumia Ndesa sasa hamtaki tena huyu mzee wa mbwii ana laana.
Akiri ndio nini?
 
Tunajua kuwa briefcase imeibiwa hoteni na majina ya watu wake. Amezoea kuweka watu kwa kalamu na si kura.

Wamemgomea sasa.
 
Kisa mwenye kigoda hamtaki Ndesapesa anataka watu wa kuwaendesha kama gari bovu ukitaka kutofautiana na mwenye Sacos yake umzidi akiri au mzidi pesa kisha mtumia Ndesa sasa hamtaki tena huyu mzee wa mbwii ana laana.
nimefananisha haya maandiko kama ya chokoraa
 
Uzi haujatimia lakini kwa uzoefu wangu wa chadema kila uchaguzi lazima kash kash itokee na hapo ndipo nipokiona kama ccm B
 
Uchaguzi wa Kanda Ya kaskazini uliokuwa ufanyike leo Jijini Tanga Umehairishwa Mpaka hapo utakapotangazwa tena na Uongozi wote wa mkoa wa Tanga umevunjwa
Mbona habar aijatuliaa mkuu sabab za kuhairisha ni zipi na kwann uongozi wa tanga umevunjwa mkuu naomba kufaham
 
hahahaha Mbowe kaone mgombea wake hajashinda yule mchagga
 
Back
Top Bottom