Recent content by food lovers

  1. F

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida ya Aloe vera (Mshubiri)

    Haina madhara Kwa mjamzito
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Kila jambo lina mwanzo na mwisho kikubwa usiache kusali usiache kupambana kuwa na Imani tu yataisha siku nzuri na zenye furaha zinakuja Kitu kingine nilicho kigundua baadhi ya magonjwa ikizingatia lishe hutayaona kabisa jitahidi mkeo Apate lishe Bora kadri unavyoweza ili wanao wachanga wawe na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

    Mleta Uzi mungu akubarik Sana Uzi umenisaidia mno kifikra by the way sikuwa addicted na mmu ila ilikua ni first priority Kila nikiingia jf na Sasa ni last priority na nnaweza nisguse mmu for even a month😂. Well done umeokoa jahazi mtoto wa mama mkwe saiv anaona changes Kwa mke wake
  4. F

    JamiiForums Tanzania KERO Higher Education Loans Board (HESLB) imetucheleweshea malipo Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, hatuna pesa za kujikimu

    😭😭😭 Inaumiza mnoo Haya malalamiko wanayapata vipi Sasa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

    Pole Sana ila nikushauri ufanye ibada muombe mungu akuepushie hiyo tabia
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ni wapi maharage yanakopatikana kwa bei Nafuu?

    Oooh wooow tunakupataje sasa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Amiin ndo nmeusoma Leo kumbe ni miaka 10 imepita abarikiwe Sana kanipa motisha pia maana napenda kilimo Sana ntajitahidi 2025 uwe mwaka wangu kwenye kilimo na ufugaji
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Uzi mzuri ongeza tena nyama ili waelewe zaidi Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  9. F

    JamiiForums Tanzania Aina za wanaume ambao huwa changamoto kwa wake zao

    1.Bachelor husband, ila si mtu wa marafiki 2.Dry husband 3. Visiting husband Aseeee huyu ni wangu kabisa ni vile tu nampenda, ila inaumizaga hisia Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Darasa la Mafundisho ya Ndoa

    Endelea kutupa ujuzi utufae katika ndoa Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

    Upewe maua yako aseee nmependa natamani waruka njia msome hii mjifunze kitu Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe muinjoi maisha huku Ndoani kuna vimambo mambo vya Ajabu sana

    Mtoto wa kike anahitaji kubembelezwa sasa wewe endelea kukaza fuvu ukute shida ndo hiyo sasa humdekezi
  13. F

    JamiiForums Tanzania Vijana msioe muinjoi maisha huku Ndoani kuna vimambo mambo vya Ajabu sana

    Umeongea point kabisa yani
Back
Top Bottom