Recent content by Fofader

  1. F

    JamiiForums Tanzania Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

    Mkuu, hadithi za Alfu Lela Ulela ni Hadithi za kiarabu. Inkoskazi inapatikana kwenye hadithi ya Machimbo ya Mfalme Suleiman.
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    Majibu ya kisayansi juu ya performance ya Yanga katika mechi ya jana kwa hisani ya AI. Altitude can significantly affect footballers' performance, primarily due to the reduced oxygen levels at higher elevations. Here are the main effects: 1. Reduced Oxygen Availability: At higher altitudes...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Malipo ya Parking Fees kwa Njia ya Simu pale Mlimani City Yanaweza Kukusababishia Hasara

    Kama mnavyofahamu wadau, kwamba ulimwengu wa sasa hivi umeghubikwa na maendeleo ya kiteknolojia yanayofanya maisha yawe rahisi. Nami kama mdau nikaamua kutumia njia ya simu kulipia parking fees pale Mlimani City baada ya kufanya manunuzi mbalimbali. Hatua ya kwanza ni kuscan QR code katika...
  4. F

    JamiiForums Tanzania NIDA wapewe uhamiaji kwa muda wapo smart sana sijawahi ona taarifa za passport zimekosewa

    Kitambulisho cha NIDA kina uwezo wa kuhifadhi taarifa yote hiyo uliyosema.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hidaya on the way.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Kwa ujumla nishati ya umeme inayotumika kwa treni za umeme inategemea mambo kadhaa. Moja, ni uzito wa treni yenyewe, yaani uzito kulingana na idadi ya mabehewa na uzito wa watu na mizigo. Pili, idadi ya stops treni inayofanya. Yaani, nishati inayohitajika kuanza kusukuma treni katika mwendo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azindua kituo cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari (CNG)

    CNG - Compressed Natural Gas. Gesi ambayo imeshindiliwa lakini bado iko katika hali ya gesi kwa ajili ya kusafirishwa kupitia mabomba kwenda sehemu mbali mbali kama viwanda, majumbani n.k. Kwa kuwa bomba la gesi limefika tayari Dsm ni rahisi kutengeneza vituo vya CNG. LNG - Liquefied Natural...
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Hata msimu uliopita alitabiri Yanga atakuwa bingwa?
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Zis is ze objective[emoji23]
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Bamako na Monastir ni saa ngapi na kupitia channel ipi?

    Mpira ni HT na matokeo ni 1 - 1.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wazungu wanatamani dunia iwe na mashoga wengi?

    1. Wanaondoa mfumo unaomheshimu Mungu 2. Wanapunguza uzazi 3. Mashoga hawaishi muda mrefu,hivyo wanapunguza idadi ya watu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Habari Wana Jf naomba msaada.

    "aliyejihuzuru" - hakuna neno hili kwenye kamusi ya kiswahili
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama langu Simba hatari inakuja tuchukue tahadhari

    Next time nikiona aliyeanzisha uzi anaitwa mbumbumbu, chura, hajui kitu nitajua yeye anasema kweli ila wanaotoa hizo sifa ni za kwao wenyewe. Lol.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Hakuna anayekupangia. Hoja kuu inaonekana ni gharama. Lakini gharama hii iko Airport. Bado unaweza ukawrap samaki wako sehemu nyingine yeyote mjini Mwanza kwenye gharama nafuu ukaja nao na ukapita. Options ziko nyingi. Options sio kupangiwa.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Jaribu kubeba waliokaangwa au waliokaushwa uone kama watakudai lamination.
Back
Top Bottom