Recent content by Focustz

  1. F

    JamiiForums Tanzania Laki 4 Kwa mwezi, mitaa ipi naweza kumudu maisha Dar?

    Brother! Tumemaliza mwaka mmoja hapo makumira university class of 2019, nakushaur tu km umeweza kubaki Arusha nakupambana mpk kwny bajaji, Nina uhakika kipato chako not less than 15k na maisha ya Arusha hayana hekaheka kbs napajua vzr. Baki Arusha jichange fungua biashara zako.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Kwahyo ww na passo yako umefikia level yakumiliki gari sio!? Au passo ina zaid ya cc1500!? Why huku opt crown or something else, anyways mtu kaomba ushauri apewe sio Ku m criticize juu ya uwezo alonao.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ni lini hangover ilikutesa na ilikuaje mpaka ukaapa hunywi tena kilauri?

    Nagonga 10 hzo na siyumbi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

    Mtoa mada unaweza kufa ukazaliwa mende, hivo life after death is possible.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

    Gari km buti la jeje
  6. F

    JamiiForums Tanzania Toyota Allion Vs Toyota Premio ZZT 1.8L

    Tuombee mvua.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

    Adenkule Gold. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwanza kwenda Nairobi

    We saga sumu bana Nairobi kufanya nn. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa milioni 4 ninunue gari gani lililotumika?

    Bado tubapigania siti kwenye daladala za mbagala. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

    Kata pickup kasombee tofali. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Embe ni march. Tunzeni kumbukumbu. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mji upi ni zaidi ya mwenzie kati ya Arusha au Mwanza

    Arusha kumetulia zaidi ya mwanza, Mwanza ina population kubwa zaid ya Arusha. Kwa starehe Arusha in zaidi ya mwanza, kwa uchafu Mwanza ni zaidi ya Arusha, Kiuchumi Arusha in zaidi ya mwanza, kwa umasikini Mwanza in zaidi ya Arusha... Kwa Bebe's Arusha ni zaidi ya mwanza. Kwa ushamba Mwanza ni...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

    Gari mbaya, muonekano kama Buti la jeje. Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom