Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

nyereu1

Member
Aug 9, 2014
14
45
Itatoweka sokoni Kama Verosa na Oppa!
Nimeiona huku mkoa haishawish kwa barabara zetu huku!
Na barabara za mchina huku zilivyo na mawimbi sijui itakuwaje!
Ziishie hukohuko kwenye barabara za makumbusho!
Kilicho towesha verosa na opa ni ulaji wa mafuta.
 

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
976
1,000
Hiyo Gari siku ya kwanza tu kuiyona mtoto wangu miaka mitano akaikodolea macho akasema, "Baba mbona Ile Gari shepu yake mbaya".

Basi tangu siku hiyo nikipishana nayo naiangalia natafakari Sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom