Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

Mimi sizipendi tatizo speed mita yake ipo katikati hata mtu aliye siti ya nyuma anaona kama unaenda speed
 
Rumion hua ni kali, ila sio hii ya kwako uliyotuwekea hapa. Unaendeshaje gari haina rim? Hebu kaweke rim na tairi za maana kwanza ndio uilete hapa..!
So kumbe hapo kaitegeshea tu hizo tairi ipo juu ya mawe? Hatari sana.
 
So kumbe hapo kaitegeshea tu hizo tairi ipo juu ya mawe? Hatari sana.
Guys!. Mtu kanunua gari anayoipenda wewe unaikosoa na kumfharau kanunua gari mbaya... Hiv unajua kale kademu kako kam.a ni kabaya pia. Alafu wat tunakuchora tu.. Em acheni hizo. Gari kama sio nzuri kwako, usiipondee sana. Sina hiyo gari nina Vanguard ila ni vizuri kuheshimu chaguo la mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom