Recent content by fmapugilo

  1. F

    Poor Men (Wanawake Wanatunyonya)

    Boflo, enzi za Twiga Hotel pale Roof Garden, kuna mdada nilimdate, wote tukaagiza vinywani na chakula, imagine enzi hizo Chicken masala ilikuwa na bei. You know what she didi? Alikula vijiko vitano tu.....eti nimeshiba. Sikumjibu kitu, nikavuta sahani nikala, and that was the end of our...
  2. F

    Nimependa Kibajaji cha Ulaya

    Zomba kama Bofloo, hata mimi nimeipenda Bajaji hiyo, ningeipeleka Makandana Tukuyu ikafanyiwe kazi!!
  3. F

    Picha ya leo - Je, waweza kusoma macho ya mtu kupata future yake?

    MadameX siyo kitu, ni kiti cha......
  4. F

    Jinajike ovyo

    Hata kufuli (Chupi) hajavaa!! aibu gani hii!!
  5. F

    Picha - Dodoma Capital City ever green, mawe pambo maridhawa.

    Mkuu, umenikumbusha Makandana!!! si unatelemka kidogo tu kwa chini!! Kweli nyumbani kuzuri.
  6. F

    Mmeiona Gari yangu Wana JF??

    Boflo unatisha mjukuu wangu, Vibabu kama mimi, unatufanya twende bafuni mara mbili mbili!!! Kweli gari yako imeumbika!! Hasa paaajaaa!!!!
  7. F

    UHURU: CHADEMA yapasuka

    Siku ya Nyani kufa, miti yote huteleza.
  8. F

    Mawaziri Wakuu wastaafu!

    Pius Msekwa hajawahi kuwa Waziri Mkuu!
  9. F

    'imagination': the late Kanumba alikuwa mbogo hivi kwa Lulu!

    Na kweli akanywe supu aondoe hang-over!!
  10. F

    Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

    Ukiangalia vizuri huyo wa pili kama hiyo picha kapigia chooni!! au macho yangu.
  11. F

    Cheki mkao huo!

    Mbombo ngafu!!!
  12. F

    Msafiri kafiri, udandiaji huu awajibike nani?

    Mkuu, hapo naona ni Ubungo Stand. Ukiangalia kwa nyuma, kuna ofisi za TANESCO, siyo Posta.
  13. F

    Matema Beach-enjoy and relax

    Nalooli kununua fijo kumyitu gwamyitu! Kali ngubomba sya fiki mbujanga muno. Kyaje mbuje kukaja!!
  14. F

    Huyu ni Balali?

    Haswaaa...Huyo ni Balali> Hiyo picha ni ya lini?? I used to know Balali very well.
Back
Top Bottom