Picha - Dodoma Capital City ever green, mawe pambo maridhawa.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
dodoma29.jpg


Kama Washington DC vile majengo si marefu na pana mvuto wa aina yake
 
Dodoma, mji mkuu wa makaratasini, wakubwa wamecna Bongo. Dar ndio mambo yote.
 
Mbona silioni lile hekalu la lowasa pale mlimani?au ulipiga picha kabla ya lowasa hajawa waziri mkuu?
 
Mkuu, umenikumbusha Makandana!!! si unatelemka kidogo tu kwa chini!!
Kweli nyumbani kuzuri.
Mkuu fmapugilo, Makandana ndo kwetu, Muulize Shadrack Nsajigwa tumepiga nae sana soka la mpira wa karatasi. Kumwitu kununu.
 
dodoma29.jpg


Kama Washington DC vile majengo si marefu na pana mvuto wa aina yake

Wewe, unajua maana ya ever green?
Nimeishi mkoa huo kwa miaka ishirini(20).....Idodomya, phew!
Nimewinda sana pimbi kwenye hicho kilima.
Acha tu nijibanze huku niliko.
 
Mbona jamaa wa Tukuyu hujaongelea Maziwa ya pale ushirika kwa Mwasha barabara ya kwenda Kyela mpaka Malawi.
 
Back
Top Bottom