Recent content by FM facts

  1. FM facts

    SHAIRI LA KISHETANI

    Tomino’s Hell 1.Elder sister vomits blood, younger sister’s breathing fire while sweet little Tomino just spits up the jewels 2.All alone does Tomino go falling into that hell, a hell of utter darkness, without even flowers. Is Tomino’s big sister the one who whips him? The purpose of the...
  2. FM facts

    Beach Yenye Mchanga Unaotembea INDIA

    Ufukwe huu wa Bahari wa "Dumas Beach" Wenye Ukubwa wa KM.2 Upo Katika Bahari ya Arab (Arabian Sea) Nchini India KM.21 Kusini Mashatiki mwa Mji wa Surat Magharibi mwa INDIA. Beach hii Imekua Maarufu sana Duniani Kutokana na Vitendo Visivyo vya Kawaida Vinavyoelezwa Kufanyika katika Beach hiyo...
  3. FM facts

    SHAIRI LA KISHETANI

    Tomino’s Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. . . Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi "Saijou Yaso" Raia wa Japan na Wakati...
  4. FM facts

    Shaka Zulu alichinja zaidi ya watu 7000 ndani ya mwaka mmoja tu

    Jina lake kamili anaitwa 'Shaka kaSenzangakhona' alikua maarufu kwa jina la 'Shaka Zulu'. Alizaliwa mwaka 1787 huko Kwazulu-Natal Afrika Kusini na kufariki mwaka 1828 akiwa na miaka 41. Alikuwa mfalme wa himaya ya Wazulu huko Afrika Kusini kuanzia mwaka 1816 –1828 akichukua Ufalme kutoka kwa...
  5. FM facts

    Vita ya Sokwe 1974-78 Hifadhi ya Gombe Kigoma

    Inaelezwa Kwamba Mwanzo Sokwe hawa Wote Walisafiri Kufika katika Hifadhi hii na walikua Kundi moja Kabla ya baadae Kutengana, Wengine Waliitawala Kusini mwa Hifadhi na Wengine Wakatawala Kaskazini mwa Hifadhi. Baadae Mwaka 1974 Sokwe Waliingia Mapiganoni Kupigania Utawa wa Hifandhi nzima...
  6. FM facts

    Unaijua Ottoman Empire? Soma Hapa.

    Himaya ya Ottoman ni Moja Kati ya Himaya Iliyokuwa Kubwa Zaidi Duniani Wakati wa Utawala Wake Huko Ulaya na Maeneo Mengine Mengi ya Afrika na Asia. Utawala huu Uliitikisa sana Dunia Kwa Zaidi ya Miaka 600 Kati ya Mwaka 1299–1923 na Inaelezwa Utawala huu Bado Upo Katika Baadhi ya Maeneo Mpaka...
  7. FM facts

    Huyu Ndie Mfalme Aliyekuwa Shoga

    Unaemuona Pichani Hapo chini ndiye Richard I Aliyekuwa Mfalme wa Uingereza Kati ya Mwaka 1189 - 1199, Inaelezwa Kwamba Alikua na Chembechembe za Ushoga! (Bila Shaka Sura yake Hapo Juu Inajieleza![emoji16]), na Hata Kifo chake Kilichomkuta April 6, 1199 Kilimkuta Akiwa Ufaransa Kwa Huyo...
  8. FM facts

    Unaijua Nchi ya Iceland? Ijue Hapa

    Je Unaijua Nchi hii ya Iceland? Karibu Uijue Hapa Kupitia #FMfacts!. 1. Iceland ni Nchi inayopatikana Barani Ulaya, Idadi ya Watu Nchini Humo inafika 340,000. Iceland Hakuna Mbu wala Nyoka!. 2. Bunge la Iceland ndilo Bunge Kongwe Zaidi Duniani, Lilianza Tangu Mwaka ya 930!. 3. Nchini Iceland...
  9. FM facts

    Hili ni Ziwa Linalotoa Maji ya Mto/ Yanatokota kabisa

    Visiwa vya Cariban Amerika Sent using Jamii Forums mobile app
  10. FM facts

    Hili ni Ziwa Linalotoa Maji ya Mto/ Yanatokota kabisa

    Nashukuru Mkuu. Mungu Amekusamehe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. FM facts

    'The Old Man Of the Lake'

    Ziwa la Kreta la Oregon ni Ziwa Lililopo Katika Mji Mdogo wa Oregon Kaskazini Magharibi mwa Marekani Katika Mpaka wa Miji ya California ni Nevada. Katika Mji huu inaelezwa Kuna Zaidi ya Maziwa Madogomadogo 1400 ya Crater! (Crater Lakes) Yanayojulikana Mpaka sasa Ambayo Yapo Katika Milima ya...
  12. FM facts

    Huyu ndiye Mwanamke Essie Dunbar Aliyefariki na Kufufuka, Aliishi Miaka 40 baada ya Tukio hilo

    Hii ilitokea Mwaka 1915 huko Nchini Marekani Kusini mwa Mji wa Carolina Ambapo 'Essie Dunbar' Aliyekua na Umri wa Miaka 30 Alifariki Akiwa na Ujauzito Aliokua Akikaribia Kujifungua. Wakati Maombolezo Yakiendelea, Asubuhi ya Kesho yake Dada yake Alifika na Kuhitaji Kuutazama Mwili wa Marehemu...
  13. FM facts

    Huyu nduye Mamba Aliyetafuna Zaidi ya Watu 300, Ana Umri wa Miaka 64

    Pamoja Kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. FM facts

    'Zone Of Silence' ni Eneo la Maajabu Dunuani/Halihitaji Sauti

    Eneo hili lipo Katika Mji wa Mapimi Kaskazini Kati Mwa Mexico, Linaitwa 'Zone of Silence" Yaani Eneo la Ukimya. Eneo hili Linatajwa Kufanana na Eneo la Bahari la Maajabu la Bermuda Triangle Kutokana na Maajabu mbalimbali yanayopatikana hapa Tangu Mwanzoni mwa Miaka ya 1900.. Inaelezwa Katika...
  15. FM facts

    Hili ni Ziwa Linalotoa Maji ya Mto/ Yanatokota kabisa

    Ziwa Hili lipo Kusini Magharibi Mwa Jamhuri ya Dominica KM.10.5 Nje Kidogo ya Mji wa Roseau.. Lipo Ndani ya Hifadhi ya 'Morne Trois Pitons National Park'. Ziwa Hili Lipo Tangu Miaka ya 1800 na Lilitokea Baada ya Kushuka Kwa Lava Milimani... Lipo Futi 100 juu ya Bonde/Mlima na Inaelezwa kuwa...
Back
Top Bottom