Recent content by flyn rider

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    mimi nadhani mtu una-adapt kutokana na mazingira..wakati nipo chuo niliishi na wakristo watupu na walikua wanapiga kwaya na mengine mengi but niliwaelewa kwa sababu wao ni utamaduni wao lakini mimi hata kuweka quran au kaswida nilikua siweki maana niliona kama nitawakwaza kwa vile wapo wengi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    mkuu nakujibu kiupole kama utanielewa..mimi ni mzanzibar na nimesoma zanzibar kuanzia std1 hadi form four kiukweli serikali ya zanzibar inaitambua dini ya kiisalamu na hakuna wa kuibadilisha hilo ndio maana hata shuleni tunasoma dua na qur-ani wakati wa asbh na somo la dini ya kiislamu lipo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    nimeipeleka kwa fundi ilikua na vumbi ajabu yaani,saiv baada ya kusafishwa inafanya kazi vizuri tu na wala haiheat tena..thanx all kwa ushauri
  4. F

    JamiiForums Tanzania computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    hio processor za gpu ndio zipi mkuu?
  5. F

    JamiiForums Tanzania computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    nitajaribu hivyo mkuu,ni siku hizi ndio,zaman ilikua haipo hivi
  6. F

    JamiiForums Tanzania computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    unaweza kuongeza nyengine kivipi mkuu?
  7. F

    JamiiForums Tanzania computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

    computer yangu sony vaio core i3, ram 3gb,hdd 320 e series vpceb44en inapata heat sana mpaka naogopa naombeni kujua tatizo itakua nn maana feni linafanya kazi ila naona kama halisaidii kitu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kubadili kozi chuoni na athari zake HESLB

    education hata ukikaa miaka 10 mtaani basi unapewa,ualimu na udaktari hawaangalii miaka uliomaliza
  9. F

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    hawa tcu nao sasa wanazingua,coz wanatupeleka chaka balaa,unaweza kujipa moyo mwisho ukakosa chuo hv hv
  10. F

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    sasa hapo si ndio wanapoteza watu sasa?maaana mtu anajipa moyo kumbe kuna watu kibao wamejaa,mwisho unakosa chuo hv hv
  11. F

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
  12. F

    JamiiForums Tanzania form 6 kufanya mtihani mwezi pili na si wa wa tano...?

    sasa hio ni news alert au ni tetesi?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kozi za Shahada za Uhandisi hapa Tanzania

    zote ni nzuri ila kwa mtazamo wangu soma geomatics maana hio course ina ajira nyingi sana na mpaka leo bado kuna uhaba wa masurveyor nchini na ndio ukaona hata ukiwa na diploma ya geomatics huwazi kusoma degree maana kuna kazi kibao za kufanya mtaani,
  14. F

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    geomatics,land management and valuation,environmental engineering, na building economics..zilizobaki ajira ni ngumu kidogo
  15. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: LG G3 ni bei gani

    liki saba na nusu unapata mpya dukani,hapa kwetu zanzibar,ila huko dar jaribu kuangalia but kuwa mkini na copy
Back
Top Bottom