Recent content by Flowerpot

  1. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Duh poa mkuu, kazini mfano nataka kupandishwa au kuhama hawawezi shangaa yanatofautiana au huwa hawajali sana kwasababu ajira portal nilipita fresh.
  2. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yaani niendelee na hilohilo la form 4 degree.?
  3. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi wakuu kama Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti cha Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina...
  4. Flowerpot

    Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

    Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
  5. Flowerpot

    2D animator anahitajika

    2D animation, masaa 10, 500k?. Modern day slavery.
  6. Flowerpot

    Nimeshindwa kupata kazi kwa juhudi zangu. Naombeni msaada wenu

    Hongera kwa uandishi mzuri, kuna watu wana-degree hawawezi hata kuandika.
  7. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    MDA & LGA Baadhi wameitwa huko usaili January.
  8. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Halafu nimesahau kuweka hiyo 24, PSRS/24/ kwenye paper sehemu ya namba ya interview, ila namba ya mwisho nimepatia. kuna shida wakuu?.
  9. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni kweli, nimetoka kukandwa NIT muda si mrefu, Tumepiga paper.
  10. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dah yaani mimi mwenyewe nashangaa.
  11. Flowerpot

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Chuo cha NIT (Assistant ICT Officer). Lakini naona na Assistant lecturers, Technicians, engineers e.t.c.
Back
Top Bottom