Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
We endelea kula mmea huku ukiendelea kujifua siku moja moja mkushiSawa,, lkn mtu anakuja kuitwa interview akiwa hadi kashasahau kuwa kuna kazi aliomba ,, bad enough interview inamtaka aende jufanya mtiani Dodoma
Kwa kweli hawa utumishi kuna kuna wakati unabaki unajiuliza maswali sasa kama hawaku tayari kwanini watio tangazo ?? Kweli unatoa tangazoo afu unakuja kumuita mtu kwaijili ya interview baada ya miezi 8 mbele ??