Recent content by FLongote

  1. FLongote

    Harmonize amefeli sana kutompost Diamond kwenye birthday yake

    Dunia ina enda kasi sana,kwaio saiz mtu birthday yake usipo mpost instagram maanake ni kuwa una ugomvi nae au una mchukia duuu,sasa asipo mpost arafu aka mpigia simu na kumuwish direct then asi mpost kuna ubaya wowote?
  2. FLongote

    Pundamilia wa tofauti azaliwa hifadhi ya Maasai Mara

    Kufikia kesho ata kuwa ameshaliwa na chui[emoji3][emoji3][emoji3]
  3. FLongote

    Kuondoka kwa Harmonize WCB tutegemee Mwisho wa Ali Kiba?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. FLongote

    NAHITAJI FRIDGE NDOGO.

    Nina fridge dogo brand ya Boss linagandisha vizuri sana linafaa sana kwa matumizi ya nyumbani na dukani/mgahawani,bei sh 50,000 lina shida moja tuu halina mlango
  5. FLongote

    MBWA MBWA MBWA KUTOKA GERMAN

    mkuu ungenichapa makofi?ungenichapaje makofi,yaan sijaelewa makofi yanachapwa kivipi? Arafu mkuu mbwa amenyanyaswaje?amekwambia kuwa ana nyanyasika? hivi unajua kwa siku ana kula bajeti ya shingapi huyo?ana kula vzur kushinda ata wewe
  6. FLongote

    MBWA MBWA MBWA KUTOKA GERMAN

    shobo zako tuu unashindwa kusoma heading au? hii ni sehem ya wanopenda kufurahi we na shida zako uko plus kugombana na mchepuko wako una kuja na mahasira yako pole hapakuusu nenda kwenye siasa mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  7. FLongote

    MBWA MBWA MBWA KUTOKA GERMAN

    hahahah,hapana mkuu huyu ametoka juzi mogadishu kwa mafunzo yake ya mwisho amewasili nchini juzi tuu.yupo lugalo kwa sasa
  8. FLongote

    MBWA MBWA MBWA KUTOKA GERMAN

    Tunauza na kusambaza mbwa aina ya German sherfad,mikoani tuna tuma karibuni sana, Mbwa wetu wanauwezo wa kunusa na kutambua mita 100 kutoka usawa wa adui alipo, karibuni sana
  9. FLongote

    USHAURI: Nilifanya mapenzi na mwanamke mara mbili baada ya hapo nikamblock,Amenitumia meseji ya vitisho, Nikamshitaki

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thanos wewe si ndio umeleta uzi huuu,Umeambiwa mwaka huu huma linzi,Ili kujithibishia hilo,Nta kutafuta january,Nkiona kimya tuu tuta badilisha DP yako na kuweka R.I.P,saizi we jirushe rushe sijui mara mpunyenye,mpwipwi,kipochi...
  10. FLongote

    USHAURI: Nilifanya mapenzi na mwanamke mara mbili baada ya hapo nikamblock,Amenitumia meseji ya vitisho, Nikamshitaki

    Ebo unaogopa nini sasa,hakuna kitu apo izo mbwe mbwe tuu,kwa mtu anae jielewa,hawezi fanya ujinga wa namna iyo.
  11. FLongote

    Ushauri wa Biashara ya kuwekeza, kwa Tsh 2 million (Mwanza)

    Hahahahah,umeua njiwa wa wili kwa jiwe moja,kwanza nime pata somo,pia nimecheka kishenzi.
  12. FLongote

    Wanaume kwanini mkimaliza kusex lazima mumuangalie babu?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom