Recent content by Flat90

  1. F

    Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

    Sasa si utangulie mkuu, shida iko wapi
  2. F

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    gspain na wadau wengine Ahsante kwa elimu, nimekua nikiitafuta kwa muda mrefu. Maana sio rahisi kumuuliza mtu anaefanya moja kwa moja. Kwa mchanganuo uliiutoa, Kodi inakatwa hata kabla ya kumaliza matumizi yoote. Yaani wao wanakata 10% hata kabla ya kujua kodi ya jengo, au operators wamelipwa...
  3. F

    Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Mzuuza mkaa anapajua Akemi?
  4. F

    Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

    Sioni kama kuna shida, maana kama mnapendana, muoane. Uwe mke wa pili. Ya nini kujinyima, ukaoelewa na mwingine then ukaendelea kuchepuka? Hata hivyo, kwa miaka miwili umekua mke wa pili, tafakari!
  5. F

    Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    Sikuwahi kuwa na wazo la mchepuko, lakini sasa nikimpata nataka hadi watoto tuzae! Maisha ni fumbo!
  6. F

    Natafakari nini cha kumfanya...

    Kosa lako ni pale ambapo ukiruhusu mapenzi ya upande mmoja! Yaani yeye hajishughulishi kuhakikisha mapenzi yenu yako imara, shughuli yote unafanya wewe! Kaa mbali kidogo, ili aone kama anakuhitaji au lah!
  7. F

    Nimweleze mama kuhusu huyu best friend wake?

    A good love drama! Nahisi mama yako anajua hayo mahusiano! Kaa mbali nayo!
  8. F

    Uvaaji Kondomu uboreshwe

    Tuvae Condom, ni kwa faida ya nchi zaidi ya raha ya binafsi. Lakini mapenzi yasiwe vita, anyway wale wa rough watakuja na hoja, ila rough iwe mmepima na mmefikia hatua fulani ya mahusiano. Mbali na hapo, lengo liwe kuridhishana na sio kukomoana.
  9. F

    Msaada kujulishwa kiasi cha fedha kinachohitajika wakati wa maandalizi ya kujifungua

    Hongera kwa kulea mimba hadi hatua hiyo. Kiwango cha pesa kinategemea na wewe ulipo, aina ya hospitali utakayompeleka lakini pia aina ya Daktari, specialist au gp. Ni kati ya 150000 hadi mill 2. Inaweza zidi endapo kutatokea complications. Ni muhimu sana wewe kuhakikisha kwamba unazijua dalili...
  10. F

    Mwanamke nzuri huyu jamanii

    Mwanamke mweusi mtamu bhana! The best
  11. F

    Mwanamke nzuri huyu jamanii

    😂😂😂👌
  12. F

    Mrejesho: Hongera Baba Nasma kwa kuchomoa betri. Waache sasa wateseke na moto

    Jamaa fala sana, mkewe atafutwe kwa nguvu zote
  13. F

    Natamani sana mungu aniondolee tamaa ya kuchepuka

    Watoto weusi watamu sana, sikushauri uache, ila punguza, fanya kwa heshima. Wandani apate haki zote, na asijue.
Back
Top Bottom