Mwanamke nzuri huyu jamanii

Mwanamke nzuri huyu jamanii

Inaonekana hiyo ID yako ina depict jinsi ulivyo, hivi umekosa hata nguo ya mtumba??, kwanini unafuama??[emoji16][emoji16]
Halafu anajiita Google helper [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Demu Safi Sana. Hapa hata nikichomwa Moto sitalia Ila kwa haya mengine mptyuuuuu vitambi, sura mbovu, umbo bovu, miguu imepinda, nikichomwa nitakua Sana.
 
Hakuna mwanamke mbaya...

Kama huamini basi jiulize wale wamama machizi mimba huwa wanaitoa wapi
 
Awe kachorwa ajachorwa lakini mie nishaamini,

Mtoa mada tafadhali nitumie zingine PM

[emoji23]
 
Back
Top Bottom