Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Sasa usiseme wanawake,ni huyo huyo,usi-generalize!Brother 10M+ sio masihara kwa week nilikuwa na tuma 50k at least mara 4 au 3 bado plus ada, vitu vyakula ndani, mtaji,furnitures plus vingi na vingi but in all yani vyote ivo hajaviona yani kweli wanawake ni watu wa ajabu sana kuna mda nilimkodishia gari miezi mitatu nalipa, siku anashida ya hela ya kula nilibidi niweke bond simu kwa masaa machache ili nitume hela ya kununua vitu leo unaniambia nisimfanye kitu kweli?
Ngoja nitakuja na Uzi wangu,niliompenda na kumhudumia mtu nikaishia maumivu,japo ni tofauti kidogo sio ya usaliti

Lkn siwezi walaumu au kuona wanaume wote ndo wako hivyo!
Na nimemsamehe nimemuacha tena alikaa mwezi tu baada ya ugomvi akawa na demu mwingine eneo hilohilo
na tunaonana karibu kila siku!We si ungeua mtu!
My point is,usifanye chochote kibaya muache,vitaisha hivyo soon na ataingia kwenye uhitaji na atakukumbuka trust me!