Recent content by fizzo kaimu

  1. F

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Silaha yake kubwa ni Ile right yake tu Ina supernatural power, ukiiepuka na ukapiga coz anajiexpose Sana waweza shinda, Ortiz Alishamuwin akajisahau tu akapigwa na Ile right akazima
  2. F

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Nafikiria kitu kama hicho Maana pamoja na ubora alionao amedefend mkanda wake mare mane au tisa kujithibitisha ni bora angefuata mikanda kwa AJ
  3. F

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Right punch yake ni balaa lazima uzime, niliyeona kidogo ampige KO ni Ortiz ila alipigia right moja akalegea
  4. F

    Kwani Azam TV Wataonyesha Kombe la Dunia huko Russia 2018?

    Game zitaonekana TBC 1 na UBC wameshatangaza kuzionyesha live bila chenga,FOX Sports pia wataonyesha
  5. F

    Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

    Niambie playmaker anaeweza chukua nafasi ya Ozil national team,Ozil is indispensable national team
  6. F

    Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

    Mzee Baba Usimzungumzie kabisa huyo mtaalamu Leon Goretzka,katika klabu anaweza asiwe vizuri ila timu ya taifa kazi yake ni nzuri katika kikosi cha kwanza national timu simuachi kabisa
  7. F

    UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

    "Kansigo, post: 15074720, member: 30697"]Chokochoko zote za karume, nia yake muungano uvunjike, wazanzbar ni wabaguz sana Alikuwa na nafasi ya kuuvunja wakati alipokuwa rais kama ndo nia yake
  8. F

    Zijue sababu za msingi za Jay Z kumwita mwanae Blue IVY

    Kuna wimbo mmoja unaitwa Freemason Jay Z yupo na Rick Ross,ukiusikiliza unapata picha fulani
  9. F

    Nina milioni 50 haina kazi

    Nikopeshe mm milion 1 maana nimekosa mkopo chuo,na uwezo wangu mdogo nikopeshe nitailipa taratibu
  10. F

    Huyu ndiye aliwakodi wafanya fujo kwenye mdahalo wa leo

    Ni Yule Anayesoma Mwalimu Nyerere Memorial University nini?maana kuna kongamano fulani hivi la ITV tena nilikasikia kakitoa lugha chafu kwa Warioba kwamba anakaribia kufa aende kijijini tu akapumzike,hako kajamaa kanatokea Mara.
  11. F

    King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

    umesema jamaa anaitwa Raymond Ndazi,kuna Brigadier mstaafu anaitwa Ndazi sasa sijajua ndo mwanae huyu au,aliishi sana Tabora.
  12. F

    Harambee ya CHADEMA 'yamezwa vibaya' na harambee ya Pinda!

    wangechangia pia na vijana 28000 waliokosa mikopo ya elimu ya juu kwa kisingizio cha bajet kufika kikomo,hata tungepewa milion 1 kwa kila mwanafunz ingesaidia mno
  13. F

    Regia Mtema 'anaishi' Morogoro,Pwani bado yetu

    Pwani inahitaji mabadiliko ya kifikra na maono,bila kuitikisa serikali ya CCM kwa kuinyima kura tutabaki kuonekana shamba la bibi la CCM,na hivyo kutofanya lolote la msingii kimaendeleo.Mtwara na Lindi washajikomboa kutoka katika fikra mgando ni wakati wetu nasi wanapwani tujiondoe huko ili...
  14. F

    Kumbe James Mbatia ni Civil Engineer?

    Mh. Stella Manyanya amekuwa akitumia jina la Engineer Stella Manyanya muda mrefu lakini amepata usajili wa bodi ya Uhandisi mwaka huu kama registered engineer and that is the same thing kwa Mbatia since he is a graduate engineer ana haki ya kujiita engineer coz ndo fani aliyohitimu
Back
Top Bottom