apunguze kuchomeka watoto wa vigogo kwa kuwapa ajira kinyemela bila kupitia utumishi...pia atoe wababaishaji ndan ya mamlaka,wazee wote waliopewa vyeo kiupendeleo lkn ufanisi wao 0 wapigwe chini..
watu wapandishwe vyeo kwa kuzingatia sifa sio kwa kujuana.hata nafasi za kusoma zisitolewe kwa...
Nepotism is too much in Tanzania Airports Authority,
I would like to thank Mod for giving me this opportunity to be the voice of the voiceless; hence letting the Government knows exactly what is going on in one of its agencies. I also thank the Government and those people who advised the...
Awali ya yote napenda kukupongeza kwa kuthubutu kupambana na hii vita ya madawa ya kulevya,ambayo kwa sasa imekuwa kama janga la taifa.Tanzania imezid kupata aibu hii kila kukicha. pia hata taswira ya wafanyakazi wa mamalaka wa viwanja vya ndege imezid kuchafuka katika jamii,kwani nimeona mara...
kazi kama hizo za credit officers sio lzm watu wawe na dipoloma au degree za biashara kwa uzoefu wangu nimeona mabenk mabalimabli yakiajiri people frm different academic bacground...na performence yao iko poa so tanuen wigo
Mamlaka ya viwanja vya ndege ni moja ya taasisi nyeti sana hapa nchini,hivyo inastahili kuendeshwa kwa umakini wa hali ya juu,doa kidogo ni aibu kwa watanzania wote,viwanja vya kimataifa ni mipaka ya Tanzania na nchi mbalimbali,ndo sehemu ambayo mgeni anaweza pata picha Tanzania kwa mara ya...
kuna vitu vya msingi ambavyo anatakiwa pia apambane navyo kwani maslahi kwa watumishi wa kawaida wa TAA yanabanwa sana huku wakubwa wakipishana kwenye ndege kila mara kwa safari zisizo na tija kwa maamlaka,mfano juzi kati kuna mama mmoja kjapelekwa kusoma nje wakati amebakiza miezi isiyozid...
Nashindwa kuelewa sijui kwanini waziri Mwakyembe unashindwa kuchukua hatua kwa madudu yanayoendelea ndani ya mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania( TAA),sababu ni taasisi inayoendeshwa kihuni sana kama genge la wahuni wachache.
Hii pia ni moja ya taasisi iliyo chini yako, kwa kukusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.