Kazi katika ubalozi wa uingereza na Marekani

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,382
Reaction score
4,664
Habari wadau;
Ningependa kufahamu kwa ambao wanajua,Kuna ndugu amepata kazi job ofa katika balozi hizi mbili kwa pamoja kwa hapa Tanzania,amaeniulizakatia ya ubalozi wa uingereza na ubalozi wa marekani ubalozi upi ambapo kuna maslahi?

ushauri wenu tafadhali
 
Huyo ndugu yako ana elimu gani ? Alisomea nini ?
Emu na wewe unisaidie sababu hua natamani kufanya kazi huko
 
Elimu ya kawaida tu na uzoefu wa miaka 8,uzoefu ndo umempa hio fursa
 
Mkuu naomba unijibu vizuri niko serious
Kwa sababu nimewahi search sana humu sikupata njia ya kufanya kazi huko
1.alisomea course gani chuo ?
 
Amesoma Uchumi lakini uzoefu alio nao sio wa uchumi ni wa mambo zingine tofauti kabisa
 
Uzuri wa hizo balozi huwa wanatoa kabisa mnyumbulisho wa maslahi, lakini maslahi makubwa yako kwenye viwanda vidogo vidgo
 
Back
Top Bottom