Ukweli ht mi nimeshazipata zaidi ya 50 nami ni mtumishi wa Mungu. Anaowahadithia hawamwelezi Ukweli kwamba zipo tu mtandaoni? Na yeye siku akizipata mfululizo atakuelewa. We tulia acha kupanic
Mbona mi niliolewa Nina nyumba, gari na ajira wkt mume wangu hakuwa na chchte? Tulikaa kwake Kwenye vyumba 2 vya kupanga kwanza, baadae tukahamia Kwenye nyumba yangu ndo tukajenga ya kwetu. Huu ni mwaka wa 10 tunaishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.