Recent content by FineForever

  1. FineForever

    MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Chukua hii, ni 100% garaantiii...
  2. FineForever

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Ooh!!! kama ulikuwepo mkuu... Mechi ya fainali kati ya Ufaransa na Argentina ilikuwa ya kukata na shoka... Huku Mbape-the wonder kid, kule Lionel Messi8 the infinity unaweza kumwita hivyo kama unataka-mchawi wa mpira wa miguu yaani duniani na hata mbinguni... "the rest is history".
  3. FineForever

    Saint Francis huwa hawaibi mitihani, Wana mifumo mizuri ya kumfanya mwanafunzi awe kasuku wa kuweza kujibu NECTA, ni ngumu sana Kasuku kukosea

    Kuna jamaa yangu alikuwa ananipa nyepesi kuhusu St. Francis mfumo wanaoutumia kuhakikisha wanafaurisha kwa division 1 pt 7 karibu wanafunzi wote. kwanza kigezo cha kuingia tu mwanfunzi lazima awe na ufaulu wa wastan usiopungua 95% kwenye Kila somo atakalopimwa. Mfano, maths, English, science...
  4. FineForever

    TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

    Ooh jamani... Mungu amlaze mahali pema aisee... Alikuwa Mkuu wa shule wa ukweli sana, enzi hizo Mkwawa Complex... nakumbuka kauli yake siku moja tulipokuwa assemble J3 asubuhi, nanukuu "those who will not jump, they will jump home". Kauli hiyo ilitokana na mkwara wa General Secretary - Samwel...
  5. FineForever

    Umepata somo gani la maisha 2022?

    Dah hili somo nimelichukua kiongozi...
  6. FineForever

    Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Kama ana principal pass ya fizikia aende vyuo vya kati vya afya akasome CEO, pharmacy, Laboratory au Radiology... NB: Advance apige chini huko hamna kitu zama hizi zaidi ya kupoteza muda na kupata sifa za kijinga tu ....
  7. FineForever

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Yeah mtulatula nimewahi kuisoma mahali inasaidia kuimarisha haja ya tendo hasa kwa Me
  8. FineForever

    Nimemwachia mali zote, naanza upya

    Na hayo ndiyo maamuzi sahihi. Maamuzi sahihi siku zote lazima yaume na kuchoma km moto lakini in a long run aman na utulivu vitatawala tu...
  9. FineForever

    Nimemwachia mali zote, naanza upya

    Mimi nilifanya ujinga huo nikaishia njiani, yaliyonikuta sitosahau, kamwe sitorudia huo ujinga... km mwanamke anaweza kukudharau ili hali ana elimu ya msingi/ F4 na hana kazi yoyote. vipi kama kasoma na ana kazi? japo siyo wote lakin tunakoelekekea karibu wote wanataka kufanana tu....
  10. FineForever

    Nimemwachia mali zote, naanza upya

    wanaume tuna kazi sana, ifke mahali iwe hakuna kuoa wala kuolewa...
  11. FineForever

    Brother uliyeoa nisikilize

    "Mwanamke ni kama unga wa ngano"... Kubadirika ni dk sifuri tu kama kinyonga. Mwisho wa kunukuuu....
  12. FineForever

    Brother uliyeoa nisikilize

    Kweli kabisa ...
  13. FineForever

    Brother uliyeoa nisikilize

    Umeandika ukweli. Lakini ukweli mwingine ni kwamba ndoa inapitia hatua za makuzi kama mtoto. Kwa hiyo pamoja na kufuata/ kufanya yote uliyoshauri haitazuia kupita katika hatua/ njia zake. Na kwamba ktk hatua hizo changamoto haziwezi kukosa na hizo ndizo zitasababisha mwanaume kuwa PM na...
Back
Top Bottom