Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,206
Huku hakufai tushashtuka
Huku hakufai tushashtuka
Umeandika ukweli. Lakini ukweli mwingine ni kwamba ndoa inapitia hatua za makuzi kama mtoto. Kwa hiyo pamoja na kufuata/ kufanya yote uliyoshauri haitazuia kupita katika hatua/ njia zake.Acha nikupe dawa ya akili, labda itakujaza maarifa sahihi ya kutunza ndoa yako.
=> Mwanaume anayejitambua lazima anajua majukumu yake, na kamwe hawezi kuyakwepa.
Bro, unapooa basi jua majukumu yako sio tu kuacha hela ya kula asubuhi, na kufanya tendo la ndoa na mkeo usiku.
Hiyo ni sehemu ya majukumu yako, lakini kumbuka pia kumfurahisha mkeo, kumfariji, kumwelimisha, kumsaidia kwenye kila jambo, kumsifu kwa jinsi alivyo, kumsifu kwa mema yake, uzuri wake, kumlinda, kumjali, kumtunza na kumpendezesha ni majukumu yako pia.
=> Najua wengi wetu tumelelewa kwenye familia ambazo ni ngumu kuona baba na mama wameshikana mikono, wamebebana, wanalishana, kukombatiana, kufurahi pamoja, kusifiana na hata kuambiana jinsi gani wanavyopendana na kuthamini mchango wa kila mmoja kwa mwenzie.
Na hii ndio imefanya wanaume wengi kutokuwa romantic na kuendekeza kuishi kiubabe na wake zao.
Bro, tabia hiyo isiendelee ndani ya ndoa yako, usiishi na mkeo kama unaishi na dada yako.
Hebu muonyeshe upendo, mdekeze, kuwa romantic, muonyeshe kiasi gani ana thamani ndani ya maisha yako, mtamkie maneno matamu, mlishe, cheza nae, mfanye kuwa rafiki yako, furahi nae.
Sio faida tu kwa mkeo, bali faida kwa watoto wako pia.
Sababu watoto hawahitaji tu baba na mama wanaoishi pamoja, bali wanahitaji wale wanaoishi pamoja na wanapendana kwa dhati.
=> Wapendanao wengi kabla ya ndoa huwa wana ukaribu mkubwa sana, urafiki, utani, ushirikiano mkubwa, na kujikuta wakipanga mengi kwa pamoja ambayo huwa na faida kwenye mahusiano yao.
Lakini baada ya ndoa, mambo haya yote hupotea.
Wanandoa hupoteza ukaribu wao, ushirikiano wao, urafiki wao, utani wao.
Mume hugeuka MP, mwanamke huwa kuruti.
Unajua kwanini? Sababu kabla ya ndoa walijitahidi kudumisha mawasiliano kati yao.
Walichat sana, walipigiana simu sana, na hata kukutana mara kwa mara, na mambo haya yalidumisha mahusiano yao na ukaribu wao.
Bro, ukioa usiue mawasiliano na mkeo kwa kisingizio kuwa utamkuta nyumbani ukirudi.
Baada ya kazi unpitia bar au kijiwe cha kahawa, na ukirudi home, huwa unajifanya umechoka sana na chochote atakachozungumza unachukulia kama anakupigia kelele.
Bro, wanawake wanachukia upweke, na upweke ni chanzo cha mawazo mabaya yanayoweza tia dosari ndoa yenu.
Ukioa, hata kama upo busy, tenga muda wa kumtext mkeo, kumpigia simu na kumjulia hali.
Ukirudi home, tenga muda wa kukaa na mkeo, zungumza nae, cheka nae, panga nae mipango, zungumza nae maneno yenye hisia na kutia hamu ya mapenzi, akiwa na huzuni mfariji, na kama ana la rohoni mwache atoe dukuduku lake.
Kila unapopata nafasi, eg: Weekend. Basi toka na mkeo, sio lazima muende sehemu nzuri, hata kuzunguka zunguka nae tu inatosha kumfanya ajisikie vizuri.
Mkeo usimwache ajihisi mpweke, mpe raha ya ndoa kwa kuspend muda wako na yeye.
"Usioe ilimradi tu nawe uitwe mume mtu, bali oa sababu upo tayari kumuonyesha upendo umpendae na kumpa raha milele".
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa ...Ndoa haiendeshwi na maoni. Ndoa hutegemea tamaduni na personalities. Sio kila mtu anapenda chat chat, kurukaruka, kushikana na kuonekana public. Halafu hatufanyi mambo robotically, eti mfanyie hili au lile kila siku hiyo ni kuwa mechanic na sio genuine. Acha uhalisia uongee. Mwalimu wa ndoa ni mwanandoa mwenyewe. OVER.
Nimeona wanawake wasopenda kuchat, utoto etc na wengne kupenda so, kikubwa watu waishi uhalisia, wasipambane kuwa wakamilifu. Utofauti ndo ukamilifu wenyewe.
"Mwanamke ni kama unga wa ngano"... Kubadirika ni dk sifuri tu kama kinyonga. Mwisho wa kunukuuu....Unachopaswa tu kuelewa ni kwamba huwezi kumridhisha mwanamke sababu hawaridhishwi hata na uumbaji wa Mungu juu wao.
Mungu aliwa nywele nzuri lakini badala ya kuzitunza wanataka za marehemu, kondoo na mikonge. Aliwapa nyusi nzuri na wanaziondoa na kuweka fake. Aliwapa kucha na hawazipendi wanaweka za bandia. Aliwapa matiti safi tu lakini wanafanya upasuaji na kutengeneza wanayotaka wao. Aliwapa tako la saizi ya kila mmoja lakini wanafaya upasuaji kutengeneza watakavyo wao.
Fanya ufanyavyo ila hutamridhisha na ipo siku atakuona kenge tu kwa vitu ambavyo sio logical kabisa.
Na zaidi ya hapo ipo siku atatamani hata mkanda tu wa rafiki yako aliyechomekea badala ya kukushauri ununue kama ule yeye atajilengesha na kuliwa.
Try you best ila jiandae kuumizwa.
Una umri gani kwanza?pili umeoa?tatu unakazi ya kufanya.?nne unawajua wanawake wa kibongo?Acha nikupe dawa ya akili, labda itakujaza maarifa sahihi ya kutunza ndoa yako.