Recent content by fimbombaya

  1. F

    JamiiForums Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

    Jamani msaada wa kujua tatizo na tiba kwa anaejua. Wife amekua akipata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa hali inayopelekea tusifurahie kabisa raha. Mara nyingine amekua akinipa tu kwa hofu kuwa napokosa muda mrefu naweza mchiti jamani naombeni muongozo wa kujua tatizo na tiba sahihi...
  2. F

    JamiiForums Nafasi ya kazi kwa waalimu

    nafasi 2 za waalimu wa diploma au degree kwa masomo ya physics chemistry,biology, na mathematics, shule ipo morogoro mjini[kihonda] kwa yeyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kwa 0713891059
  3. F

    JamiiForums Kwa hili msigwa amepoteza sifa za uongozi!! Someni fb anavyowatukana watu wanaompinga

    nyakarungu greyson tunajua nawe ndo ulokua unakula zile 150000 toka kwa zzk,sasa sishangai kwa kuja na hoja dhaifu kama hii,najua una uchungu kiasi gan baada ya kutumiwa na kwa unafiki mlidhani hamta bainika,
  4. F

    JamiiForums Kifo cha dr. Mvungi si ujambazi bali tukio lamtandao, askofu same

    Eti tumekamata bastola,simu na panga. Bila aibu wapi laptop iliyoibwa? Yaleyale ya mkenya
  5. F

    JamiiForums Denti anayedaiwa kubakwa na Kapuya huyu hapa

    Magazeti ya shigongo yanaandika utumbo siku zote.
  6. F

    JamiiForums Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

    Nimepita hapa maeneo ya ilala karibu na club ya wazee, kuna mauaji yametokea kwa watu wawili kupigwa risasi na muuaji nae kajiua,pia wawil wamejeruhiwa. Taarifa zaid ntawajuza. Kwa mujibu wa shuhuda wa Clouds FM. Mauaji hayo yamefanyika maeneo ya Ilala, kataja maeneo kwa jina lake maarufu...
  7. F

    JamiiForums Msaada kutambua namba hii +255262604828

    Wadau naomba anaeitambua namba hiyo +255262604828 anijuze mana nimekuta miscal. Nasi tulituma application tunapokuta namba mpya za cm za mezan tunajua labda umeitwa sehemu. Nimejaribu kuipiga haipokelewi
  8. F

    JamiiForums Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

    Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo, mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata maumivu zaidi kiasi hata...
  9. F

    JamiiForums Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    usingoje kutangaziwa ukiona umekatika jua ndo umeanza ivo ooooo
  10. F

    JamiiForums Tahadhari watafuta kazi, job scams wanabuni mbinu mpya

    wizi huo mjini hapa ndugu
  11. F

    JamiiForums Ajila za ualimu mwaka huu

    sina uhakika ila ngoja tungoje tutajua tu
  12. F

    JamiiForums sina raha na ndoa yangu......

    heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae...
  13. F

    JamiiForums Changa la macho

    mambo ya makulumbembe hayo,safi sana
  14. F

    JamiiForums Yanga Vs Azam

    azam 3 yanga 1
Back
Top Bottom