Nafasi ya kazi kwa waalimu

Nafasi ya kazi kwa waalimu

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
nafasi 2 za waalimu wa diploma au degree kwa masomo ya physics chemistry,biology, na mathematics, shule ipo morogoro mjini[kihonda] kwa yeyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kwa 0713891059
 
Nina shahada ya Computer science na nimefundisha kwa kipindi kirefu tangu nimemaliza form six hadi naanza chuo
masomo ya Physics, Math na chemistry Naweza pata nafasi nipo viwandani morogoro
 
Fanya kazi unyopenda Mungu atakusaidia tu,usikate tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom