miezi michache iliyopita niliota nina nimekua na hisa nyingi tu katika hospital ya kanda hapa Tanzania ili hali maisha yangu sijawa na uwezo huo..... Hii inamaana gani?
ndoto nyingine niliota naokota dhahabu eneo la karibu na nyumbani kwetu kuna njia flani inapita afu pembeni kuna kunakichuguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.