Recent content by Filimbi nyakanazi

  1. F

    Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Mfumo wa CCM na serikali yake unashinikiza watu wawe wezi kama umevyoshurutisha kwenye escrow tegeta, uporaji nyumba za serikali, wanyama pori nk. Ili nchi ipone lazima mng'olewe makoloni meusi.
  2. F

    Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

    Yaaniii wanaboaje serikali ya CCM. Hapa nane nane area six Morogoro. Wanatupa umeme saa 7 usiku mpaka 12 asubuhi. Maji wanatupa Mara 2 kwa mwezi bili ikija not less than tsh 27000/- . Barabara ya kichangani nanenane makorongo yameharibu daladala mpaka daladala zinapungua kila siku. (Hawa CCM...
  3. F

    Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    Kero hizi ni hapa Morogoro Manispaaa hapa area six. Barabara makorongo mpaka gari za nanenane- kichangani zinaharibika hivyo daladala zinakaribia kuachana na route hii. Chadema njoni kivingine mtusaidie "utumwa huu mpaka lini?"
  4. F

    Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    Chadema chukueni Dora Karaha za CCM zimetuchosha. Yani tunataabika mtuonee huruma. Umeme hapa area six unawaka saa 7 usiku hadi 11 alfajiri wiki nzima. Maji kila mwezi naletewa tsh 27000 ila ktk mwezi yanatoka Mara mbili. Mungu tuokoe dhidi ya ukoloni huu wa CCM. Chadema tumikeni twafaaaa !!!
  5. F

    Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na Hatimaye Mgombea wa CCM!

    Mtaumiza vichwa sanaaa! Je, Lowasa umempeleka wapi?
  6. F

    Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Imetulia ! Sana watashangaa na washangilie sanaaa.
  7. F

    Kuanzishwa kwa Benki ya Walimu kutupe somo Watanzania

    Haya majsnga babu kubwa. Wamilki wa Benk si walimu. Pls shtuka ni taasisi ya watu wachache.
  8. F

    Mbunge Mtarajiwa wa ACT. Morogoro mjini !

    Upeo wake -ve wisdom ! Thubutu atachaguliwa na zz
  9. F

    Kamati Kuu CHADEMA kukutana Dar

    Big up ! Corrupted people don't like you. Keep it up claiming toward Real freedom economically,socially,politically
  10. F

    Vijana ACT-wazalendo kwetu kazi tu na kusambaza uzalendo, nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa

    Ukiona kobe kakaa kimya ujue anamsubiri guru ampatie jeuri .
  11. F

    Vijana ACT-wazalendo kwetu kazi tu na kusambaza uzalendo, nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa

    Amaaa ! Mzalendo akumbatieye takrima kwa mashirika vip Atasambazaje uzalendo? Nyie watu wazima shangaa usidanganyike kwa pipi au bazoka.
  12. F

    Mishahara juu kuelekea uchaguzi Mkuu

    Walimu mtajiju kwa baadhi watawala walisha sema mkitaka maslahi mazuri acheni kazi. Tutazamie gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho.
  13. F

    Mbowe na Zitto Kabwe wapimwe kwa hoja zao

    Mwl Nyerere alisema mtu aliekula nyama ya mtu hawezi kuacha. Zz alikuwa ndumila kuwili hawezi kuwa kwa nini walimchelewesha hali lishakunywa damu ya kijani ? Ushahidi wa kununuliwa na mafisadi ulitolewa bungeni zz kufisadi hivyo ataweza danganya wachache. Sumu anayolishwa na tawala hatuinywi kamwe
Back
Top Bottom