Wadau napangisha Nyumba ipo Pugu Kichangani bei ni Tshs 200,000/= Yeyote anayehitaji anipigie kwa simu namba 0687702626. Nyumba ina vyumba 3, sebule,dinning,jiko choo cha ndani.Kisima kipo. Haina Dalali. Unaweza kuiona kwa picha hapo chini. Ulinzi upo.