Fier
Tofauti ipo tena kubwa sana! Utafiti umeonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa sana baina ya ufaulu na mwanafunzi kuandaliwa kisaikolojia unapoweka division fail ambao mnaiita zero hii haitoi picha halisi ya mazingira ya kitu inaitwa elimu, nikuulize swali hivi inawezekana kabisa mtu...
Fier
Shaka ondoa , huko ndio tunapokwenda ujue tulishikilia mfumo wa elimu ambao ulikuwa unafanya elimu kuwa kama adhabu! Kumbe elimu ni kuelimishwa tu na kuelewa wala si adhabu! Habari gani mtu unafanya mitihani ya cku moja alafu eti unaambiwa zero, maana yake nini? Je hustahili kabisa...
Fier
Hatari ya kitalu kuwa karibu na hifadhi ni kuwa kitaluni milio ya bunduki sio jambo litakalostusha wahifadhi! Na kumbuka ukiachia risasi yako kwa makusudi tu kupiga tembo huku ukijifanya ulilenga kongoni unaweza kujenga ground za kujitetea.
Fier
Mkuu kwa vx v8 milioni 250 mpaka 300 zinafika ujue hizo gari japo model ya engine moja ila zinakuwa na specification tofauti tofauti mfano angalia ile v8 ya msafara ya kikwete hata body inaonekana imezidi upana kidogo, ila pia hizi bei tusichukulie tu unapoiona toyota japan au huko...
Fier
Ndugu yangu, jaribu kuelewa maana kila unaposoma maelezo yeyote
Lugha iliyotumiwa ni kiswahili, lugha ya taifa, unashindwa vipi kuelewa mazingira ya kifo cha mwangosi na hao wengine unaotaka kuwalinganisha? Mwangosi kapigwa bomu na polisi tena mbele ya RPC ambaye muda si mrefu...
Fier
Hebu waeleweshe mkuu, pengine kwa wasiomfahamu zaidi bwana kingu ni kijana wa kiadventista msabato! Maadili kafundishwa kuanzia nyumbani hadi kanisani! Hao ni vijana wanaosimamia imani zao kwa kufanya kazi wakiwa na hofu ya MUNGU.
Fier
Kaka mission ya congo ni tofauti na darfur huko congo askari jeshi wetu wanakuwa Peace enforcer hio unakuwa unaruhusiwa hata kuwatafuta na kupiga waasi hata kama hawajakuchokoza! Ila darfur wale wanakuwa ma Peace keeper hio huwapigi ila unatumia diplomasia zaidi kutatua matatizo! Ndio...
Fier
Mimi sijaona tatizo hapo kwa sababu hukuambiwa kuwa madaktari hawakuwapo na wala hukuambiwa kuwa dawa zilikuwa hazijafika
Suala lililoongongelewa hapo ni namba kubwa ya wagonjwa tena tatizo ambalo tayari lilishajulikana kuwa ni mlipuko wa malaria. Kujua hivyo tu ilitosha kujua kuwa...
FIER
Hawajakosea kabisa katika kipaumbele, kwa sababu pia wameamua kujenga kwa lami barabara ya kutokea mbezi malamba mawili mpaka kinyerezi hio inamaanisha kuna gari nyingi sana watazipunguza kupitia ubungo, pia barabara ya kimara segerea wakiimarisha pia inapunguza kupita ubungo, achilia...
FIER
Asante kwa ufafanuzi wa kuwajulisha watu DVR ni nini, ila point inabaki palepale kwa muda huu DVR ndio muhifadhi wa kilichopigwa na kamera swali kwamba zilikuwa kamera ngapi ili upate tukio si hoja kubwa sana kwa sababu yawezekana kamera moja tu ambayo ilikuwa imeelekea upande wa...
Ni sahihi kabisa walichokifanya: hao wananchi ndio waliowatuma kuwawakilisha na tena wameuwawa wakati wakiwa katika hatua za kuandaliwa kutuletea wawakilishi wengine (madiwani).
Imagine unaweza kupata vipi nguvu ya kuendelea kukaa bungeni wakati aliekuchagua uwakilishe anapigwa mabomu na...
Si ndio maana wanapiga meza tu kupongeza chochote kinachokuja mbele yao katika bajeti, mtu anaondoa kodi ya bajaji na bodaboda alafu anapandisha bei ya mafuta jamaa wanapiga meza kupongeza. Sasa hizo bodaboda zitaendeshwa kwa maji, hao vijana wanaowalenga wengi hizo bodaboda sio zao kwani dereva...
FIER
Kwa hakika bajeti hii ni ya hovyo sana kwa maslahi yetu wananchi!
Kuhusu hizo bodaboda na bajaji ni kutafuta attention tu kutoka katika kundi hili la vijana ambalo kwa hakika bado hawajawasaidia hata kidogo kwa sababu wengi wao wala si wamiliki wa hivi vyombo, pili unapofuta hio kodi...
Fier
Tena hio kupinga ni draft tu, na hata hivyo haiwezi kupita kamwe kwa sababu haiwezekani kuwa na manifesto mbili katika umoja wa aina moja ambazo hii inakubali jambo hilohilo jingine ikatae. Ushoga,usagaji na ndoa jinsia moja ndio ideology ya uliberali na imedhihirishwa katika manifesto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.