Wakuu wa Wilaya kubadilishwa

Wakuu wa Wilaya kubadilishwa

Kuna tetesi za ndani nimesikia kutakuwa na mabadiriko ya wakuu wa wilaya nchi nzima wengine watatoka na wengine watapangiwa sehemu zingine hii ni kutokana na wengine kushindwa kumudu nafasi walizoteuliwa......

mkuu nakumbuka ni hivi majuzi juzi tu rais aliteua madc wapya na kuhamisha wengine vituo. kunani? hii inadhihirisha kuwa hizi nafasi zinatolewa kifadhila hence watu hawawezi kuperfom. pia huu ni ushahidi kuwa udc umeshapitwa na wakati sasa. mtu anashindwa kwenye ubunge then anateuliwa kuwa dc. what do you expect?
 
Hizi si ni nafasi za maprince na maprincesses au close friends wa Tanzania royal family sasa kwa vile wako wengi nafasi hazitoshi kwa hiyo huwa wanagawana kwa msimu so its time kwa group jipya hili linalotoka lishatengenezewa maisha washindwe wenyewe kujiendeleza sasa ni muda wa kaka zao na wadogo zao waliotoka vyuoni! Si unajua Monarchy hii
 
Uko sahihi mdau, km dc wa temeke khaaa
 
Nasikia kule Igunga Mkuu wa wilaya Amepanchi (kaludishwa)kwani alikua ahamishwe kwa skendo ya nguzo za umeme cku moja ntaandika kuhusu hili.
 
Nasikia kule Igunga Mkuu wa wilaya Amepanchi (kaludishwa)kwani alikua ahamishwe kwa skendo ya nguzo za umeme cku moja ntaandika kuhusu hili.

Kwanini unaficha madhambi? Usiwe kama mficha uchi ujue hutozaa, Mficha ugonjwa Kifo kitamuumbua... Mwaga vitu mkuu hii nchi isizidi kuendeshwa na wezi pamoja na wauza Madawa ya Kulevya.... Hatutofika kuoneana haya... tusifuate kama ya mkulu mwenye kusamehe wahatarisha uchumi na nchi... Wezi wa EPA walisamehewa na wauza madawa wanajulikana ila majina yao yamekaliwa...
 
Nasikia kule Igunga Mkuu wa wilaya Amepanchi (kaludishwa)kwani alikua ahamishwe kwa skendo ya nguzo za umeme cku moja ntaandika kuhusu hili.

wewe unaumwa ugonjwa,wa manjano,Dc wa Igunga ni miongoni mwa vijana makini wasiopenda Rushwa na upuuzi,Kwa taarifa yako ameinadili Igunga kkatika ajira za vijana na kuleta mshikamano kwa vyama vyote,nenda Igunga ukaambiwe,mwezi ulopita sisi na timu ya watu wakilimo tumejionea zaidi ya Vijana 120,wamegraduate na kupewa ajira,acha kuzusha yasiyokuwepo,Huyu kawaulize hata Chadema watakuambia,kaulize mama ntilie,kijana wa miaka kama 30, lakini rekodi yake inatisha katika kazi,huyu alikataa rushwa ya miln 50 alipowakamata wachina wakitorosha mchamga,hawa ndo vijana taifa linakivunia sio majungumajungu yako
 
NI zamu za wadau wa jf kupata huo uDC, wale vijana wa buku 7 per unit message, au hilo halimo kwenye makubaliano?
 
Napendekeza hao jamaa wateuliwe kutoka
kwenye maeneo yao wanayoishi ndipo watawajibika kwani wako used na hayo maeneo kuliko kuwatoa mbali. Ni ushauri tu jamani tafadhali msinitukane.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huu utaratibu wa kuchagua wanahabari na wanajeshi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya ilianza lini?
 
wewe unaumwa ugonjwa,wa manjano,Dc wa Igunga ni miongoni mwa vijana makini wasiopenda Rushwa na upuuzi,Kwa taarifa yako ameinadili Igunga kkatika ajira za vijana na kuleta mshikamano kwa vyama vyote,nenda Igunga ukaambiwe,mwezi ulopita sisi na timu ya watu wakilimo tumejionea zaidi ya Vijana 120,wamegraduate na kupewa ajira,acha kuzusha yasiyokuwepo,Huyu kawaulize hata Chadema watakuambia,kaulize mama ntilie,kijana wa miaka kama 30, lakini rekodi yake inatisha katika kazi,huyu alikataa rushwa ya miln 50 alipowakamata wachina wakitorosha mchamga,hawa ndo vijana taifa linakivunia sio majungumajungu yako

Fier

Hebu waeleweshe mkuu, pengine kwa wasiomfahamu zaidi bwana kingu ni kijana wa kiadventista msabato! Maadili kafundishwa kuanzia nyumbani hadi kanisani! Hao ni vijana wanaosimamia imani zao kwa kufanya kazi wakiwa na hofu ya MUNGU.
 
Hii habar inaweza kuwa ya kwel maana.. kuna jamaa angu kajikombaga xana kulamba viatu, alinipigia tangu mwez wa 7 akidai na yeye AMEULA! ngoja tuone.
 
Mmmmmmmh. Napita tu. Na yule dc mama jangili wa miti ya mbao kule mufindi itakuwaje atakuwemo?
 
Kama ni kweli basi ingefaa kila mkuu wa wilaya atoke wilaya husika na hata apigiwe hata kura na wananchi hivyo angewajibika.....
 
Fier

Hebu waeleweshe mkuu, pengine kwa wasiomfahamu zaidi bwana kingu ni kijana wa kiadventista msabato! Maadili kafundishwa kuanzia nyumbani hadi kanisani! Hao ni vijana wanaosimamia imani zao kwa kufanya kazi wakiwa na hofu ya MUNGU.

ndugu fier ukweli lazima tuuseme Huyu dogo anamaadili ni mnyenyekevu nasikia alipewa shamba la mpunga amevuna gunia zote 120 za mpunga amewapa kanisa la wasabato,dogo hapendi kulimbikiza Mali huyu ni muinjilist ukuu wa wilaya wamempa tuu na sio siri waziri mkuu na Rais kila mikutano wanamtolea mfano jamaa wanamuonea wivu kwa umri mdogo na mambo anayofanya
 
nijuzeni, ukuu wa wilaya aka DC unafaida gani, mshahara au nyumba na gari la bure> nini faida?
 
Wee unataka faida hutufai ukuu wa wilaya ni utumishi kuwatumikia watu kwa faida ya taifa
 
CDM ikishika nchi hzo nafas ztaenda kwa majembe yao yanayokesha Jf,Fb kuitetea hata kwa hoja mikufu,,,,,,,.......!!!!!!
 
Back
Top Bottom