Usahihi Kuhusu DVR kwa Members Wote:

Usahihi Kuhusu DVR kwa Members Wote:

Hapa ni sawa na kuanzisha thread ya matumizi ya HDD, halafu information ukazitoa kwenye Wikipedia. Ni vyema hii thread ikakaa kwenye jukwaa la Tech, Gadgets & Science Forum. Zaidi ya hapo sioni umuhimu wa kuanzisha thread isiyo ya habari kwenye jukwaa la habari
 
Ivi hata huyo mbowe kwel anajua maana ya DVR,PVR maana nae nais kaambiwa kaseme ivi,yale mamacho yanaonesha jamaa samjo
 
Hapa ni sawa na kuanzisha thread ya matumizi ya HDD, halafu information ukazitoa kwenye Wikipedia. Ni vyema hii thread ikakaa kwenye jukwaa la Tech, Gadgets & Science Forum. Zaidi ya hapo sioni umuhimu wa kuanzisha thread isiyo ya habari kwenye jukwaa la habari

Ni sawa, wengi hampendi wenzenu wafahamu... ili tu... muwadanganye... technology sio ngumu ki-hivyo boss. Heshima mbele. Hii sio rocket sayansi.
 
pamoja na kudeclare intrest, unajipambanua kupitia majibu yako kuwa unapambana na CDM kuhusu kumbukumbu zao za kielectronic na kidigitali.
Tunachojua mpaka sasa ni kuwa kumbukumbu ya matukio ya mkutano wa chadema kufunga kampeni za udiwani Arusha na hujuma ya bomu ZIMEREKODIWA NA KUHIFADHIWA SALAMA! zitakapowekwa hadharani maswali yenu ama shule zenu za dvr, cctv hata ccmtv mtayaleta ubaoni.
 
DVR- Ni kifaa cha kutunzia picha za video ambazo zimepigwa na Camera Kwa matumizi ya baadaye mara nyingi zinatumika kwenye ulinzi kwa kuunganisha na Closed Circuit TV - CCTV. DVR yenyewe haipigi picha...

Kwa kifupi... mfumo wenyewe uko hivi....

1. Unahitaji Camera {moja au zaidi, nyingi na zilizowekwa kwenye pembe mbalimbali ndizo zina-guarantee fully coverage ya tukio}

2. Unahitaji kifaa cha kutunzia hizo picha zinazotoka kwenye camera nyingi... ambacho mara nyingi kinaitwa DVR-- hii ni computer zenye Hard Disk yenye uwezo wa kuweka kumbukumbu nyingi. Na ina software malaaumu kwa ajili ya ku-play live tukio lolote ambalo unataka ku-rewind la Camera yoyote... Walinzi wa makampuni ya Ulinzi wanatumia sana. Au Wapiga Picha za Harusi wanatumia sana ku-rewind live kwenye tukio ambalo wamelipenda including kuweka slow motion. Mara nyingi kama unapenda ku-rewind matukio live lazima basi uweke Monitor/TV ya kuonyesha hayo matukio. Lakini kama huhitaji huna haja ya kuwa na monitor na kama unaamini mitambo yako kweli ina-record/tunza maana bila monitor huwezi kuverify kweli kama utunzaji unafanyika.

3.Kwa kuwa una Camera nyingi, unahitaji kuziunganisha kwenye hiyo DVR yako au kifaa cha kutunzia na ku-rewind picha kwa ajili ya ku-view... hapa unahitaji mfumo wa kuunganisha hizo camera zako zote kwenda kwenye DVR - Kwa maana nyingine unakuwa na Closed Circuit TV - CCTV kwa ajili hiyo.

.

Mtu makini anaweza kukuambia ame-cover tukio kwa kusema idadi ya Camera alizotumia na Angle zilizowekwa. Kwa sababu hata bila DVR au CCTV ukiwa na Camera zako nyingi zenye DVD [Kifaa again cha kutunza] za kutosha na kama sio lazima kuona footage hapo kwenye tukio lenyewe huhitaji DVR au CCTV.

Kwa maana nyingi kitendo cha kwamba mnaongea kwa wiki sasa hamuongelei Camera za kuchukua matukio zilikuwa ngapi mnadanganyana tu.

Mfano mzuri. Kuwa na Latest DVR au na CCTV kwenye Harusi yako alafu usiwe na Camera... tuone kama utaambulia kitu...

Au uwe na Camera moja kwenye harusi yako... imeunganishwa kwenye latest worldclass DVR through CCTV alafu mpiga picha wako mwenye hiyo camera awe anapiga picha ndani ya hall/ukumbi alafu siku ya siku akuonyeshe picha za nje ya ukumbi wakati yeye muda wote alikuwa ndani ya ukumbi. Ati kwa sababu ya world class DVR au CCTV cabling.

Nilidhani niweke- Ukweli sawa.

"Mambo ya eti kutumia Satellite etc... Hauna maana yoyote..."

NB: Ukiwa na Latest DVR ku-review image footage za tukio ni suala la ku-click tu... muda gani? camera ipi? then you get everything huhitaji masaa, siku au ma-wiki.

Wapenzi wa Football au Wengine; Stadium zina CCTV system inayounganisha camera nyingi au zote zilizoko kwenye pembe mbalimbali za uwanja... kwenda kwenye DVR ku-record matukio yote... na mengine hata huyaoni kwenye TV yako, lakini ukitaka waweza onyeshwa almost kila kitu... Kwa sababu idadi ya picha zinazorikodiwa ziko sawa sawa na idadi ya Camera zilizoko uwanjani. Hivyo Stadiumu zina Cameras, CCTV na DVR pamoja ndizo zinakuletea football live... Wengine Mlishawahi kusikia kwamba kuna mtangazaji akitamka kuna camera 200 au x... kwenye stadium Q, meaning accuracy ya matukio yote inasababishwa na Idadi ya kubwa ya Camera zilizosimikwa kila kona ya Uwanja mpaka nje ya Uwanja... sio DVR. DVR ni kwa jili ukubwa wa kutunza matukio tu.

Meaning of DVR from Wikipedia.
A digital video recorder (DVR), sometimes referred to by the merchandising term personal video recorder (PVR), is a consumer electronics device or application software that records video in a digital format to a disk drive, USB flash drive, SD memory card or other local or networked mass storage device

Wateja wa DSTv wale wanaoweza ku-record program fulani na kucheki baadaye wanazo PVR.... recording events ambazo already zinaletwa na DSTv na kuangalia baadaye.

So DVR is something simple and not complicated like the way watu wanatoka mapovu navyo... na ukiwa na latest techonology DVR unaonyesha matukio instantly.

Mfano wa DVR ambazo wengine mnazo majumbani mwenu especially wateja wa DSTv wana PVR.
View attachment 99198

Note: Thread hii ni ya kuelimisha tu, haiko kupinga au ku-support chochote kinachoendelea kwenye Thread Zingine. Huenda kwa elimu hii ndogo mwaweza kujadili kwa hakika mambo yenu yanayoendelea.

Nawatakia siku njema na Mukamwombe Mungu.

FIER

Asante kwa ufafanuzi wa kuwajulisha watu DVR ni nini, ila point inabaki palepale kwa muda huu DVR ndio muhifadhi wa kilichopigwa na kamera swali kwamba zilikuwa kamera ngapi ili upate tukio si hoja kubwa sana kwa sababu yawezekana kamera moja tu ambayo ilikuwa imeelekea upande wa tukio lilipoanzia inatosha kuonyesha picha halisi ambayo itakuwa ipo ndani ya DVR kwa sasa.
Swali kuwa walijuaje tukio litatokea hadi kamera ielekezwe huko pia si hoja kubwa kwani kumbuka upo uwezekano wa kuweka kamera za macho kwenye jukwaa na kuelekeza pande za watu kumbuka jukwaa kwa kawaida za mikutano yeyote lipo juu zaidi ya watu
Pia kwa sababu hata muda wa mlipuko wahutubiaji walishashuka juu its logical kuwa wapiga picha zile kamera za mikononi sasa nao walielielekeza kamera zao kwa watu, kumbuka mashuhuda walisema wakati wanaendelea kutoa kile wanachokiita sadaka baada ya hotuba. Hivyo mpiga picha hawezi kuelekeza kamera jukwaani kama kazi yake ni ya kuchukua matukio.

Suala la DVR za kisasa
Ni kweli zipo dual tuner dvr hii inaweza kwa muda huohuo kurusha picha inayoletwa na kamera kwenye satelite ambayo wame tune na kupeleka picha kwenye main server ambayo inaweza kuwa nchi yeyote ambayo hio server ipo. Au inaweza kurusha picha husika katika website yeyote live na ukipewa hizo link ukawa unaangalia hio picha live hilo tushawahi kuliona kwenye harusi ambayo tulikuwa mlimani city ambapo muda huohuo watu wakipewa link tukawa tunajiona live wengine tukitumia simu zetu maana pale wana wifi za bure, hii inamaanisha kuwa kwa muda ule kuna ndugu zao wengine walikuwa marekani walikuwa wanaona live.
Kwa mantiki hio ndio maana DVR inatajwa sana hapa katika tukio hili na kwa sababu wahusika wamesema tukio la mtupa bomu wameliona that means kuna mojawapo ya kamera yao iliona basi tusibishe sana, na pia hata hao wanaohangaika kuzitafuta hizo dvr waharibu picha yawezekana isisaidie kama picha zilikuwa zinarushwa moja kwa moja kwa server ya nje ya pale au kama wameweka kwenye link moja kwa,moja kutoka wakati zinasave matukio.

Kmbuka yawezekana mrushaji alikuwa mbumbumbu wa teknoloji kwa kiasi ya kwamba hakujua pengine kuna teknoloji za kuweza kurekodi anachokifanya na akabainika hata kama target yao ilikuwa ni kubatua kamera zote ambazo watu walikuwa wanazo maana kwa muda huo kamera inakuwa imeshapeleka picha sehemu nyingine so hata ukiichukua haisaidii
 
DVR- Ni kifaa cha kutunzia picha za video ambazo zimepigwa na Camera Kwa matumizi ya baadaye mara nyingi zinatumika kwenye ulinzi kwa kuunganisha na Closed Circuit TV - CCTV. DVR yenyewe haipigi picha...

Kwa kifupi... mfumo wenyewe uko hivi....

1. Unahitaji Camera {moja au zaidi, nyingi na zilizowekwa kwenye pembe mbalimbali ndizo zina-guarantee fully coverage ya tukio}

2. Unahitaji kifaa cha kutunzia hizo picha zinazotoka kwenye camera nyingi... ambacho mara nyingi kinaitwa DVR-- hii ni computer zenye Hard Disk yenye uwezo wa kuweka kumbukumbu nyingi. Na ina software malaaumu kwa ajili ya ku-play live tukio lolote ambalo unataka ku-rewind la Camera yoyote... Walinzi wa makampuni ya Ulinzi wanatumia sana. Au Wapiga Picha za Harusi wanatumia sana ku-rewind live kwenye tukio ambalo wamelipenda including kuweka slow motion. Mara nyingi kama unapenda ku-rewind matukio live lazima basi uweke Monitor/TV ya kuonyesha hayo matukio. Lakini kama huhitaji huna haja ya kuwa na monitor na kama unaamini mitambo yako kweli ina-record/tunza maana bila monitor huwezi kuverify kweli kama utunzaji unafanyika.

3.Kwa kuwa una Camera nyingi, unahitaji kuziunganisha kwenye hiyo DVR yako au kifaa cha kutunzia na ku-rewind picha kwa ajili ya ku-view... hapa unahitaji mfumo wa kuunganisha hizo camera zako zote kwenda kwenye DVR - Kwa maana nyingine unakuwa na Closed Circuit TV - CCTV kwa ajili hiyo.

.

Mtu makini anaweza kukuambia ame-cover tukio kwa kusema idadi ya Camera alizotumia na Angle zilizowekwa. Kwa sababu hata bila DVR au CCTV ukiwa na Camera zako nyingi zenye DVD [Kifaa again cha kutunza] za kutosha na kama sio lazima kuona footage hapo kwenye tukio lenyewe huhitaji DVR au CCTV.

Kwa maana nyingi kitendo cha kwamba mnaongea kwa wiki sasa hamuongelei Camera za kuchukua matukio zilikuwa ngapi mnadanganyana tu.

Mfano mzuri. Kuwa na Latest DVR au na CCTV kwenye Harusi yako alafu usiwe na Camera... tuone kama utaambulia kitu...

Au uwe na Camera moja kwenye harusi yako... imeunganishwa kwenye latest worldclass DVR through CCTV alafu mpiga picha wako mwenye hiyo camera awe anapiga picha ndani ya hall/ukumbi alafu siku ya siku akuonyeshe picha za nje ya ukumbi wakati yeye muda wote alikuwa ndani ya ukumbi. Ati kwa sababu ya world class DVR au CCTV cabling.

Nilidhani niweke- Ukweli sawa.

"Mambo ya eti kutumia Satellite etc... Hauna maana yoyote..."

NB: Ukiwa na Latest DVR ku-review image footage za tukio ni suala la ku-click tu... muda gani? camera ipi? then you get everything huhitaji masaa, siku au ma-wiki.

Wapenzi wa Football au Wengine; Stadium zina CCTV system inayounganisha camera nyingi au zote zilizoko kwenye pembe mbalimbali za uwanja... kwenda kwenye DVR ku-record matukio yote... na mengine hata huyaoni kwenye TV yako, lakini ukitaka waweza onyeshwa almost kila kitu... Kwa sababu idadi ya picha zinazorikodiwa ziko sawa sawa na idadi ya Camera zilizoko uwanjani. Hivyo Stadiumu zina Cameras, CCTV na DVR pamoja ndizo zinakuletea football live... Wengine Mlishawahi kusikia kwamba kuna mtangazaji akitamka kuna camera 200 au x... kwenye stadium Q, meaning accuracy ya matukio yote inasababishwa na Idadi ya kubwa ya Camera zilizosimikwa kila kona ya Uwanja mpaka nje ya Uwanja... sio DVR. DVR ni kwa jili ukubwa wa kutunza matukio tu.

Meaning of DVR from Wikipedia.
A digital video recorder (DVR), sometimes referred to by the merchandising term personal video recorder (PVR), is a consumer electronics device or application software that records video in a digital format to a disk drive, USB flash drive, SD memory card or other local or networked mass storage device

Wateja wa DSTv wale wanaoweza ku-record program fulani na kucheki baadaye wanazo PVR.... recording events ambazo already zinaletwa na DSTv na kuangalia baadaye.

So DVR is something simple and not complicated like the way watu wanatoka mapovu navyo... na ukiwa na latest techonology DVR unaonyesha matukio instantly.

Mfano wa DVR ambazo wengine mnazo majumbani mwenu especially wateja wa DSTv wana PVR.
View attachment 99198

Note: Thread hii ni ya kuelimisha tu, haiko kupinga au ku-support chochote kinachoendelea kwenye Thread Zingine. Huenda kwa elimu hii ndogo mwaweza kujadili kwa hakika mambo yenu yanayoendelea.

Nawatakia siku njema na Mukamwombe Mungu.

tatizo ume-report kama vile haya maelezo yako ndio mwisho wa dunia kwamba technolojia imefungwa haiwezi kwenda zaidi ya hapo. Unafikiri ni kwa nini wataalamu wa Tanzania huwa hawagundui jambo jipya baada ya kuhitimu kwenye vyuo mbalmbali? ni kwa sababu karibu wote wanaamini kile wanachofundishwa darasani ndio mwisho wa yote hawawezi kufikiri zaidi ya hapo au kinyume cha hapo, unakumbuka tulivyokuwa tumekariri evolution theories za Charles Robert Darwin kabla ya kuwa busted na watu walioamua kufikiri na kutafiti.
 
Fier,

Good comments: Na DVR za sasa hivi or rather za Kisasan.... kupata picha ni immediate you do not need weeks, month etc... to review a captured picha. Unless you umetumia old DVR then you need to convert the image format to the current one, hiyo lazima ikuchukulie muda.

So let people understand DVR is not vifaa maalamu is vifaa vilivyozagaa nchini.
 
DVR- Ni kifaa cha kutunzia picha za video ambazo zimepigwa na Camera Kwa matumizi ya baadaye mara nyingi zinatumika kwenye ulinzi kwa kuunganisha na Closed Circuit TV - CCTV. DVR yenyewe haipigi picha...

Kwa kifupi... mfumo wenyewe uko hivi....

1. Unahitaji Camera {moja au zaidi, nyingi na zilizowekwa kwenye pembe mbalimbali ndizo zina-guarantee fully coverage ya tukio}

2. Unahitaji kifaa cha kutunzia hizo picha zinazotoka kwenye camera nyingi... ambacho mara nyingi kinaitwa DVR-- hii ni computer zenye Hard Disk yenye uwezo wa kuweka kumbukumbu nyingi. Na ina software malaaumu kwa ajili ya ku-play live tukio lolote ambalo unataka ku-rewind la Camera yoyote... Walinzi wa makampuni ya Ulinzi wanatumia sana. Au Wapiga Picha za Harusi wanatumia sana ku-rewind live kwenye tukio ambalo wamelipenda including kuweka slow motion. Mara nyingi kama unapenda ku-rewind matukio live lazima basi uweke Monitor/TV ya kuonyesha hayo matukio. Lakini kama huhitaji huna haja ya kuwa na monitor na kama unaamini mitambo yako kweli ina-record/tunza maana bila monitor huwezi kuverify kweli kama utunzaji unafanyika.

3.Kwa kuwa una Camera nyingi, unahitaji kuziunganisha kwenye hiyo DVR yako au kifaa cha kutunzia na ku-rewind picha kwa ajili ya ku-view... hapa unahitaji mfumo wa kuunganisha hizo camera zako zote kwenda kwenye DVR - Kwa maana nyingine unakuwa na Closed Circuit TV - CCTV kwa ajili hiyo.

.

Mtu makini anaweza kukuambia ame-cover tukio kwa kusema idadi ya Camera alizotumia na Angle zilizowekwa. Kwa sababu hata bila DVR au CCTV ukiwa na Camera zako nyingi zenye DVD [Kifaa again cha kutunza] za kutosha na kama sio lazima kuona footage hapo kwenye tukio lenyewe huhitaji DVR au CCTV.

Kwa maana nyingi kitendo cha kwamba mnaongea kwa wiki sasa hamuongelei Camera za kuchukua matukio zilikuwa ngapi mnadanganyana tu.

Mfano mzuri. Kuwa na Latest DVR au na CCTV kwenye Harusi yako alafu usiwe na Camera... tuone kama utaambulia kitu...

Au uwe na Camera moja kwenye harusi yako... imeunganishwa kwenye latest worldclass DVR through CCTV alafu mpiga picha wako mwenye hiyo camera awe anapiga picha ndani ya hall/ukumbi alafu siku ya siku akuonyeshe picha za nje ya ukumbi wakati yeye muda wote alikuwa ndani ya ukumbi. Ati kwa sababu ya world class DVR au CCTV cabling.

Nilidhani niweke- Ukweli sawa.

"Mambo ya eti kutumia Satellite etc... Hauna maana yoyote..."

NB: Ukiwa na Latest DVR ku-review image footage za tukio ni suala la ku-click tu... muda gani? camera ipi? then you get everything huhitaji masaa, siku au ma-wiki.

Wapenzi wa Football au Wengine; Stadium zina CCTV system inayounganisha camera nyingi au zote zilizoko kwenye pembe mbalimbali za uwanja... kwenda kwenye DVR ku-record matukio yote... na mengine hata huyaoni kwenye TV yako, lakini ukitaka waweza onyeshwa almost kila kitu... Kwa sababu idadi ya picha zinazorikodiwa ziko sawa sawa na idadi ya Camera zilizoko uwanjani. Hivyo Stadiumu zina Cameras, CCTV na DVR pamoja ndizo zinakuletea football live... Wengine Mlishawahi kusikia kwamba kuna mtangazaji akitamka kuna camera 200 au x... kwenye stadium Q, meaning accuracy ya matukio yote inasababishwa na Idadi ya kubwa ya Camera zilizosimikwa kila kona ya Uwanja mpaka nje ya Uwanja... sio DVR. DVR ni kwa jili ukubwa wa kutunza matukio tu.

Meaning of DVR from Wikipedia.
A digital video recorder (DVR), sometimes referred to by the merchandising term personal video recorder (PVR), is a consumer electronics device or application software that records video in a digital format to a disk drive, USB flash drive, SD memory card or other local or networked mass storage device

Wateja wa DSTv wale wanaoweza ku-record program fulani na kucheki baadaye wanazo PVR.... recording events ambazo already zinaletwa na DSTv na kuangalia baadaye.

So DVR is something simple and not complicated like the way watu wanatoka mapovu navyo... na ukiwa na latest techonology DVR unaonyesha matukio instantly.

Mfano wa DVR ambazo wengine mnazo majumbani mwenu especially wateja wa DSTv wana PVR.
View attachment 99198

Note: Thread hii ni ya kuelimisha tu, haiko kupinga au ku-support chochote kinachoendelea kwenye Thread Zingine. Huenda kwa elimu hii ndogo mwaweza kujadili kwa hakika mambo yenu yanayoendelea.

Nawatakia siku njema na Mukamwombe Mungu.

Kasheshe

swali ni "how big should the camera be to capture all images and channel them to DVR? Do you suggest that only handy camera should be used to capture images and send them to the DVR? Do you suggest that only cables technology should be used to network the DVR and camera (whether micro hawk eyes camera or handy camera0? Do you suggest that DVR cannot be networked with satellite imaging technology? Would you please conclude your highly informative post badala ya kulalamikia povu la wachangiaje wengine?

Best
 
so what?

Kama umesoma vizuri umeelewa! Kwangu nilizungumzia Camera sio aina kwenye aina ni Darasa lingine out of scope of the thread!

Satellite business ni mambo mengine yenye matumizi tofauti.
 
Sawa,

Kumbe basi ujumbe wako umepwaya, maana hoja iliyojengwa kuzunguka camera na DVR halafu imepwaya kuzungumzia nini kinaunganisha hizi zana mbili, hoja inakuwa haijakwiva kisawasawa hivyo kuacha uwazi wa Liwalo na Liwe kama asemavyo Pinda
 
Ni sawa, wengi hampendi wenzenu wafahamu... ili tu... muwadanganye... technology sio ngumu ki-hivyo boss. Heshima mbele. Hii sio rocket sayansi.
Sio ngumu ndugu yangu, ATM nyingi za CRDB zinatumia hii (at least najua kwa CRDB, sijajua wengine wala sijakataa kama wengine wanatumia). Kutokana na teknolojia yenyewe kuwa very familiar kwa watu wa kawaida, ndio maana nikasema sikuona sababu yako kuanzishia thread ya kitu kinachojulikana waziwazi. Ndipo pale niliposema ukileta thread ya kuelezea matumizi ya hard disc, sidhani kama utakuwa umeleta kitu kipya. Wewe mwenyewe umesema teknolojia sio ngumu kivile, sasa nashangaa kama ni common ilikuwaje ukaanzisha uzi kuielezea!
 
Mkuu sitaki kuamini kama huoni mantiki ya ufafanuzi wa kitaalam alioutoa mleta mada ambapo kimsingi wengi wetu tulikua hatujui tunasikia tu mitambo maalamu mara ohhh kwa sataliti nk

Perfect!!!, mm pia mpaka nilikuwa cjui hiyo DVR n nn, nikadhan labda n satellite, kuna wa2 wengine bana c wakubishana nao, kwan kuona hawaon hata kuckia hawa ckii, much respect kwa mtoa thread!.
 
Excellent!!, ur work is very clearly bro, nimekusoma, ucwachukie wale watakao ponda thread yako@ yaliyo waz wanafcha, yaliyo fichwa wanasema N THIS IS TANZANIA.
 
Sawa,

Kumbe basi ujumbe wako umepwaya, maana hoja iliyojengwa kuzunguka camera na DVR halafu imepwaya kuzungumzia nini kinaunganisha hizi zana mbili, hoja inakuwa haijakwiva kisawasawa hivyo kuacha uwazi wa Liwalo na Liwe kama asemavyo Pinda

Nilitamka mambo matatu! Camera, Closed Circuit TV na DVR... That make a complete System...

Hope ulitaka niingie zaidi kwenye CCTV mimi sikuona umuhimu.

Kwenye CCTV you can have different technology from coaxial cable, coper, fiber, VPN through MPLS, IPSec... that connect camera to DVR, then you have to know whether camera was digital or not... didn't see why I should mention all these.

However people mentione satellite, well some who use satellite in fact they use to extend that system above... from DVR kwenda kwingine kwenye site nyingine. Or if you are rich you can also connect each camera to satellite then to DVR this is expensive and not feasible at least. If you connect each camera Satellite Antenna a.k.a Madishi yataonekana tu........

I think my comment was satisfactory to many if you want show who knows what, let go to PM sir/madam.
 
Sio ngumu ndugu yangu, ATM nyingi za CRDB zinatumia hii (at least najua kwa CRDB, sijajua wengine wala sijakataa kama wengine wanatumia). Kutokana na teknolojia yenyewe kuwa very familiar kwa watu wa kawaida, ndio maana nikasema sikuona sababu yako kuanzishia thread ya kitu kinachojulikana waziwazi. Ndipo pale niliposema ukileta thread ya kuelezea matumizi ya hard disc, sidhani kama utakuwa umeleta kitu kipya. Wewe mwenyewe umesema teknolojia sio ngumu kivile, sasa nashangaa kama ni common ilikuwaje ukaanzisha uzi kuielezea!

I can assure you not everyone see kwenye ATM kuna camera.... thus why others attempt to steal... hapa nia ilikuwa kuelekeza wenzetu sio wewe unayejua. Ilivyotajwa DVR wengine waliona jampo jipya sana. My thread showed it is a trivial thing and was not supposed to be a be subject rather sources of information capturing machines which are camera.
 
Cha msingi cdm wanao picha ya aliyerusha bomu iwe kapatikana kwa dvr, ppr,cnn, tbc,cctv,au flash subirin muda ufike
 
Exactly this is the question I expected kutoka kwenye watu wenye akili zao... na sio tu Camera Ngapi bali zilizowekwa pia kwenye angle/corner ngapi za sehemu ya tukio...

Maana wapiga picha kumi wote wakielekeza camera zao kwa Bibi Harusi kwenye jukwaa pale Ukumbini! Huwezi kuniambia wakati huo hou utaona matukio ya kwenye chakula! Yet kwenye chakula hakuna Camera imeelekeza huko.

Angalizo: Ila kama mpiga Camera alikuwa standby ku-rekodi tukio fulani linalo/litakalotokea muda fulani... of course lazima alipate tena vizuri. Kama Wapiga picha wamejiandaa kupiga tukio la kukata keki definetely muda huo wote watakuwa tayari... Lakini again kinacholeta tukio ni Camera na Mpiga Picha... Sio Kompyuta (DVR) inayosubiri kutumiwa na Camera tukio lolote kutoka camera yoyote.

kwa maana hiyo waliorekodi tukio walikua na ufahamu wa kitakachotokea
 
mkuu maana ya camera ni kuchukua matukio haina maana kuwa walikuwa wanangojea kitu kitokee. nia ilikuwa ni kuchukuwa matukio ya mwisho wa kampeni za uchaguzi wa udiwani. mrusha bomu aliporusha akukutana na kazi ya kuchukua matukio inaendelea naye akawa sehemu ya tukio.
 
Back
Top Bottom