Recent content by Fido22

  1. Fido22

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Msema kweli mpenzi wa mungu ambae pia ni adui wa mwanawaadam.
  2. Fido22

    Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

    Walambwa haooo..... Wanapishana viswahili.
  3. Fido22

    Msaada:

    Naombeni kuuliza wana jf wenza wajuzi mnijuze tafadhali, je, inaluhusiwa waya wa umeme wa selves line kupita juu ya fensi ya nyumba na sio paa la nyumba maana naofia kuanza ujenzi wa fensi nisije kupata hasara.
  4. Fido22

    Neno la shukrani alilotoa kijana aliyepiga picha expansion joints za hostel

    Tambua ya kuwa hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa fikra. Wewe ni nani ulipo toka wapi? Ulipo wapi? Na unapokwenda wapi? Hii ni atua ya kwanza ya kujitambua.
  5. Fido22

    Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Mimi najua jinsi mnavyo zitengeneza, ukitaka sema nikufundishe. Kuna mdada nimemfundisha sasa hivi kila wiki anatolewa bikra.
  6. Fido22

    Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Hapana wapo mpaka wa mika arobaini ila ni zakichina zimejaa nyingi tu.
  7. Fido22

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Akili zikiwa nyingi ndio unakua huru.
  8. Fido22

    Unawezaje kumtambua msichana kama ni bikira?

    Hakuna muhitimu kwenye mapenzi, kuwa mkini kuna bikra za kutengeneza je, unazijua?
  9. Fido22

    MBOWE: Kama CCM inaona vyama vya upinzani ni hasara, wana wingi wa kutosha bungeni, wavifute

    Alisema baba yangu mkubwa baba Ridhiwani yakwamba mtamkumbuka sasa wakwanza huyoooo. Haya nani tena mwengine?
  10. Fido22

    Vipengele vya tuzo kwa members wa JF mwaka 2017, piga kura yako hapa..

    Tuzo ya asiweza kutuma picha jf sijaiona, na hiki ndio kipengele changu.
  11. Fido22

    Msaada:

    Msaada: Jinsi ya kuweka picha kwenye akauti ya jf.
  12. Fido22

    Doctor Shika yuko wapi?

    Yupo wapi Doctor Shika niliipenda sana filamu yake nifupi yenye mashiko, tafadhali nielezeni alipo.
  13. Fido22

    Mbowe achia chama kwa vijana wakijenge la sivyo 2020 yatawakuta makubwa CHADEMA

    1995-NCCR Mageuzi, 2005-CUF, 2010 CHADEMA, 2015 UKAWA, 2020 --------?
  14. Fido22

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Nini maoni yako kwa raisi kuwasamee wabakaji kama shtaka lilivyo wa kabili watu wa familia moja?
  15. Fido22

    Siyo kila Mzazi anastahili upendo wako!

    Mzazi ni tu hata awe vipi kunawalio zaliwa na malaya na leo ni waheshimiwa kuna walio zaliwa na wachamungu na leo ni wezi, mzazi ni mzazi tu angeamua angebana mapaja kwa tukio hili la kukuleta duniani ni moja ya kielele zo tosha cha wewe kumueshimu. Wapunzike kwa amani wazazizi wangu wote wawili...
Back
Top Bottom