Elimu ya maisha usilinganishe na elimu ya darasani kuna wenye degree alaf wanazidiwa elimu ya maisha na mtu ambae hajasoma degree ipo kwenye makaratasi tuu na elimu yetu ni ya kujibia mitihani haina uhusiano na uelewa wa maisha au uwajibikaji kwenye mahusiano na kwenye jamii tena vijana wasomi...
Je mama yake ana kisukari?uzito mkubwa kwa mtoto wakat mwingine sio afya ila ni tatizo kwa mama katk kipind cha ujauzito kama kisukar au pressure na kupelekea mtoto kukua na kupata uzito mkubwa.
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha sita.Naomba mnisaidie ajira yoyote ile ya kufanya itakayoniingizia kipato mimi napatikana arusha,natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Ahsante[emoji120]
Kiukweli wanawake wa chuo hawafai waupekeni mbali na kuwaoa labda ujitoe akili hasa hawa waliofika chuokikuu bora hawa wanaosoma certificate au diploma
Vijana wa kuoa walikuwa zamani mkuu,sasaivi maisha magumu na usawa ulivyokaza mtu kuoa mpk avuke miaka 30 wazungu wao wanawah kuoa au kuolewa lakin ndo wanaongoza kuangalia porn
Wakati wazungu ndo wanaongoza kwa izo porn haijalishi ni mtu mzima wala nini na kwao ni kitu cha kawaida,kikubwa ni malezi na utandawazi umeharibu jamii
Kukojoa chini ya dakika moja sio tatizo tatizo lipo kwenye muendelezo baada ya kukojoa(refractory period) apo ndo tunapima nguvu za kiume mwingine akishakojoa tuu iyo ni majogoo[emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.