Recent content by fide1975

  1. fide1975

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Hii itakuwa sawa tu kama uhamuzi wake ulikuwa ni wa hoja alizozitaja lakini kama nyuma ya pazia ni msukumo na ushawishi wa maslahi binafsi,madaraka,fedha bac hoja zake itakuwa ni gheresha
  2. fide1975

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Well understood bro.You always hit a nail on the head
  3. fide1975

    JamiiForums Tanzania Neno kwa Waoga: Uwezekano wa Barrick Kusema "Hatudaiwi" ni SIFURI!

    Mmk sidhani kama unafanya research kabla ya kuandika unajua Revenue ya Mwaka ya Acacia? How can they afford to pay 60bill$ wakati Revenue yao kwa mwaka ni one billion!It will take them 60yrs to pay that bila wao kuchukua chochote. ..is that feasible? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fide1975

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Si aende?hana la maana linalomfanye hasiende au mpaka Bashite aende?
  5. fide1975

    JamiiForums Tanzania Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

    Mzee wa degree tatu unamtetea mbulura alozungusha form four...yaani darasa la saba...hutakaa kamwe uzungumzie issue ya elimu cause itamgusa...Bashite moja kwa moja
  6. fide1975

    JamiiForums Tanzania Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

    Ukikosa akili ukajaliwa mwili mkubwa ni hasara tupu..mtoto haramu utamjua ana tabia ya kujikomba hasa kwa wanamme cause the father figure was missing
  7. fide1975

    JamiiForums Tanzania M. Mwanakijiji wa 2009: Ukitaka mambo yakunyokee jiunge CCM

    Mbeba maboksi mmoja amezeeka so now anajikomba kama atapewa wadhifa ni aibu sana kuendekeza dhiki Mwanakijiji sawa Na Mrema
  8. fide1975

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa USA angekuwa Republican

    Free education starting from foe primary school to secondary school doesn't qualify as cutting down social welfare benefit...
  9. fide1975

    JamiiForums Tanzania Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

    Unayeongea kuhusu afya ya Lowassa uko morbidly obese. body mass index ...afu unasema afya ya mwingine..jicheki cholesterol
  10. fide1975

    JamiiForums Tanzania Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Atakukwatile ati teneka Aikukoza ayolobeza ali kunyata Yombeka mpango takutelao mganda Abingile sho takaizile oti tata amanya kwiluka? ayakuaile nihwe yanyimile gatagata tigebwa wabo mbeo Kagunju kula oli wa mbwa Ebitaina mahyo tibyela Olutega mkasho lwija na nyoko Elafa teulila nzamba Kosiga...
  11. fide1975

    JamiiForums Tanzania Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Embolo eikala einile niyo ekwisa akaho
  12. fide1975

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Tutakabiliana na wauza ‘unga’ kwa nguvu zote

    Mtu mkosefu WA akili unaweza amini anayoyasema hayo.watu waliomzunguka nje na ndani ya serikali wanauza unga..lazima aseme kujitutumua kama Kingunge alivyo sema ilhali mwanae ni muuzaji mkuu
  13. fide1975

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    Wew unasifia mijizi inayoiba fedha za walipa kodi ambayo ingesaidia baba mamako.unaona fisadi1 mjanja kutumia mgongo WA ikulu kujitajirisha...ulimbukeni mzigo!
  14. fide1975

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Du...mjini kugumu bila kazi maalumu.lazima atetee wenye nacho ili kwa namna moja au nyingine wamwezeshe
  15. fide1975

    JamiiForums Tanzania Wakili maarufu Theo RUTASHOBORWA, mshabiki wa YANGA amefariki dunia leo

    du maskini jamaa nafahamu nimesoma naye Rubya Seminary miaka ya themanini alikuwa very smart and then akaja UD na kuwa president wa DARUSO the guy was so smart
Back
Top Bottom