Wakili maarufu Theo RUTASHOBORWA, mshabiki wa YANGA amefariki dunia leo

mtx2006

JF-Expert Member
Feb 1, 2008
276
145
Nimepokea message muda si mrefu kwamba wakili maarufu nchini aliyekuwa pia mshabiki wa yanga ndg ruttashoborwa amefariki dunia leo katika hosp ya agha khan dar es salaam. Sababu za kifo bado hazijulikani. Msemaji wa yanga amethibitisha habari hizi. wakati wa uhai wake marehemu ameifanyia yanga mambo mengi ikiwemo michango ya hali na mali. marehemu alikuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya yanga. R.I.P RUTA
 
du maskini jamaa nafahamu nimesoma naye Rubya Seminary miaka ya themanini alikuwa very smart and then akaja UD na kuwa president wa DARUSO the guy was so smart
 
Dear Valued Member:

This is to inform you of the sad demise of Tanganyika Law Society (TLS) member, Mr. Theonest Rutashoborwa (Advocate), Roll Number 531. The late Mr. Rutashoborwa died at 3a.m. this morning, at the Aga Khan Hospital. After pronouncement of death, we are informed that the corpse was moved to the morgue at the Muhimbili National Hospital.

The family is currently making funeral arrangements and we will communicate this information to you via e-mail and SMS as soon as it becomes available to us. In the meantime, relatives and friends are meeting for the funeral wake at the late Mr. Rutashoborwa's residence in Mtoni Kijichi.

We encourage members to attend the funeral wake to support and comfort the family of our late colleague, Mr. Theonest Rutashoborwa, during this time of grief.

MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN.

TLS Secretariat.
.
 
Dear Valued Member:

This is to inform you of the sad demise of Tanganyika Law Society (TLS) member, Mr. Theonest Rutashoborwa (Advocate), Roll Number 531. The late Mr. Rutashoborwa died at 3a.m. this morning, at the Aga Khan Hospital. After pronouncement of death, we are informed that the corpse was moved to the morgue at the Muhimbili National Hospital.

The family is currently making funeral arrangements and we will communicate this information to you via e-mail and SMS as soon as it becomes available to us. In the meantime, relatives and friends are meeting for the funeral wake at the late Mr. Rutashoborwa’s residence in Mtoni Kijichi.

We encourage members to attend the funeral wake to support and comfort the family of our late colleague, Mr. Theonest Rutashoborwa, during this time of grief.

MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN.

TLS Secretariat.
.

Ni Theofrid au Theonest?........ila alikuwa Yanga sana jamaa.......RIP

ruta.JPG
 
du maskini jamaa nafahamu nimesoma naye Rubya Seminary miaka ya themanini alikuwa very smart and then akaja UD na kuwa president wa DARUSO the guy was so smart

APEPE (Alazwe Pema Peponi) Rutta. Yeah Umenikumbusha Rubya Seminary Mkuu.
 
Huyu Theo si ndiye yule aliye kwapua fwedha za Fr. George (King), Tshs 60,000 miaka ile? ( Sorry sina maana ya kumshushia heshima marehemu)
 
R.I.P. RUTTA! Wanayanga bomba tutakukumbuka sana! Huyu ni mmoja wa waliofanikisha ufadhili/udhamini wa Y.M. kwa Young African!
 
Huyu Theo si ndiye yule aliye kwapua fwedha za Fr. George (King), Tshs 60,000 miaka ile? ( Sorry sina maana ya kumshushia heshima marehemu)
Huna maana ya kumshushia heshima marehemu na unaanika unaandika details za makosa ya marehemu kwenye forum! Defamation.
Naiwe nkwashe? Kasome tena John 8: 7
 
Rutashoborwa si ni member Jf hapa ametoa tu thread kwenye Jukwaa la Jokes lenye title ya "Lulu ametoroka?"
 
RIP
riposi in pace

Huyu Theo si ndiye yule aliye kwapua fwedha za Fr. George (King), Tshs 60,000 miaka ile? ( Sorry sina maana ya kumshushia heshima marehemu)

Mkuu nadhani hapa lugha ya kimajonzi na ya ki-busara ungeuliza yule mwenye tuhuma za upotevu / uchukuliwaji wa pesa za Fr. George King... (sio kukwapua na fwedha)

Kujibu swali lako sijui..., labda kuna anayefahamu ataelezea
 
Back
Top Bottom