Recent content by ffotunatus54

  1. F

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Taasisi tuliyoenda kufanya usahili ( yaan chuo kilichotangaza nafasi za kazi)
  2. F

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeambiwa nitume vyeti kwenye taasisi ( Nafasi ilikuwa Tutorial assistant)baada ya kufanya oral utumishi hii inamaana nimepata kazi? Mwenye uzoefu na hilo naomba msaada
  3. F

    Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

    Unataka kuhalalisha uzinzi?
  4. F

    Powdered neo gloves

    Powdered neo examination gloves pack of 100 @ tsh 9500 per box Contact us 0767 317 319
  5. F

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Kabisa
  6. F

    Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Mimi nikutakie kila la heri, unafanya kazi kubwa mungu awe pamoja na wewe
  7. F

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Na imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo. Hivyo basi nakupasha habari za kristo kuwa, alikufa kwa ajiri ya dhambi zetu, akaacha utukufu na uungu aliokuwa nao kwa ajiri yetu akafanyika mwanadamu wa daraja la chini kabisa ili aokoe ulimwengu. Yesu kristo atahukumu...
  8. F

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Huwezi kumpangia mungu eti kwa sababu afanye ww unavyotaka ambazo ww unaziita contradictions ili adhibitike kuwa yupo. Mungu ana plan zake, mawazo yake si kama yako/wanadamu. Pia kuendelea kuamini kuwa hayupo, hakutokumfanya asiwepo kweli,, kwanza watu kama nyie ambao hamna imani mungu...
  9. F

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Na watu kama nyie mungu Ali aliwaacha ili muangamie katika upambavu wenu kwa sabubu wa ugumu wa mioyo yenu. Kilichobaki kwako mungu akupe neema tu.
  10. F

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Wewe ni shetani
  11. F

    Dental supplies items kwa bei rahisi

    Tuna clear stock ya dental supplies items please contact me if interested Maongezi yapo 067 288 3050
  12. F

    Kuwa wakala wa barakoa za upasuaji (surgical masks/medical masks) kwa bei ya kiwandani

    Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa. Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji (surgical masks/medical masks). Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana nasi 0672883050.
  13. F

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks" Au kama unataka kununua barakoa kwa bei ya kiwandani wasiliana nasi Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana...
  14. F

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks" Au kama unataka kununua barakoa kwa bei ya kiwandani wasiliana nasi Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana...
Back
Top Bottom