Watu wengi Hawana uwezo wa juu wa kuhimili hoja za wengine. Matusi na vijembe havisaidii! Toeni fact na wengine wapate kujifunza mbona wengine mnapwaya!
Nimependa maada yako ila nasikitika upande wa pili hatuna hoja zaidi ya matusi> Binafsi nimejifunza kitu hapa kwamba wengi wasio na hoja ya msingi hujikita kwenye matusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.