Recent content by FERNAANDO

  1. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kalenga, sasa CCM kurejesha jimbo la Iringa mjini

    Si jimbo la baba tena mwenye nacho haongezewe hivi hakuna watu wengine mpaka ubunge uwe wa ukoo,tutaendelea kuwaotoa uchungu mpaka lini.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupeleka battalion moja Congo

    usiwaze kodi tunayotoa kumbuka amani inayopatikana inatoka wapi wenzako hawalali wanalinda mipaka kwa ajili yako wewe unaofanya biashara na kupulizwa upepo ikitokea vita watakaofaidi ni wanajeshi pekee wengine ni vilio tu mwanzo mwisho
  3. F

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Mpele mtoto shule apate elimu.fanya kazi kwa bidii tuonane 2012. Piga chini hao tuone kama watatukana tena
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

    Ukiona kimya fainali 2015 si wanabebana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Dada umetumika sana ili lengo la kuharibu litimie bali umeshindwa safari yako ya siasa ndio imefia hapo.ulivyokuwa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya mwisho ya Kikwete na ukandamizaji kwa jamii ya Kiislam

    TATIZO UNATAKA RAIS APENDELEE UPANDE MMOJA,NCHI HII HAINA DINI KILA MTU ANAABUDU KATIKA DINI APENDAYO,WAMEJARIBU KUSHAISHI IMESHINDIKANA.RAIS AJAE WATU WATAKUWA KIMYA There are no emails in your Trash folder.
  7. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itadumazwa na ZITTO vs MBOWE.

    Kawaambie wewe gambaz uliyetumwa,ya kwako yamekushinda unawapangia ya jirani
  8. F

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    [du?kumbe chadema mko juu watu wakilala wanawaza chadema tutaiangusha vpi,watu wamebadilika wanataka maendeleo,
  9. F

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Tunakuondoa wewe na wengine waliokutuma amepewa pesa huyo ni gamba
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mh. Joseph Mbilinyi hadi sasa umetufanyia nini Mbeya mjini?

    Umetumwa nini, unauliza umefanyiwa nini anza wewe subiri kufanyiwa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Hujui kufuatilia siasa,dr slaa alikuwa mwanachama wa ccm lakini baada ya kuenguliwa na ccm kura za maoni na kumweka qoro wa ccm,wananchi tukamwomba ahamie chama chochote naye akaenda chadema na akapita kwa kishindo hapa karatu.hiyo kadi unayosema imerudishwa muda mrefu baada ya kuhamia chadema...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kitu Mfano wa bomu kilichotua Ngara usiku wa kuamkia jana

    Kila kitu kinafanywa kwa utafiti unauhakika gani kama limetoka goma subiri uchunguzi toka kwa wataalamu jwtz kujuwa ni bomu au kitu kingine
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Wewe gamba uliyeandika
  14. F

    JamiiForums Tanzania Chadema kaeni chonjo! Moto huu hauzimiki leo ama kesho

    mpaka mkodishe magari na fedha mtoe ili watu wafike,maneno hayo tulidanganywa sana lakini sio sasa wajinga ndio waliao
  15. F

    JamiiForums Tanzania Chadema kaeni chonjo! Moto huu hauzimiki leo ama kesho

    Mpaka mkodishe magari ndio watu wafike,hata mimi ningepewa fedha ningekuja sikiliza lakini hakuna jipya tena tulidanganywa sana lakini sio sasa
Back
Top Bottom