tatizo
1.sioni mbinu mpya kwenda ikulu 2015.
2. Tumesahau vitu vingine vilivyoipandisha CHADEMA KAMA;
I. Kudumaa kwa CUF, KUFA KWA NCCR, na Ufisadi wa waziwazi
tukubaliane tu mbowe yuko sawa kufanya siasa jukwaani ila bungeni kugeuka spidi gavana ya wabunge wa Chadema Bungeni eti ndo busara inanikera sana.
Tuliemfatilia Zitto toka awali tuko wazi sana. Hafai kabisa. Alipowatosa wabunge wa chadema kutoka bungeni, Alivyojinufaisha na ujumbe wa kamati ya madini, alivyotafuta fedha chafu kuutafuta uwenyekiti chadema na mtu mlopokaji. Alishasema siasa sio fani yake, akasema sigombei uöngozi wowote chadema na sitagombea tena ubunge. Huyu sipaswi kumjadili.
Mbowe namwona kama anabusara, mvumilivu na mwanaharakati. Ameweza kutatua migogoro mingi ya chama bila kukiathiri au kuvua uanachama watu. Mapungufu ya mbowe yanazibwa na kasoro kubwa za Zitto.
Ninasababu 30 za kumuomba MBOWE ASIWE MWENYEKITI TENA.
1. Wapo wengine wachache wanaweza kama. Halima Mdee, Dr Slaa, Lema na ata Vicent Nyerere.
2. Mbowe ni mfanyabiashara mkubwa na CHADEMA KUTOKUMILIKI ATA GAZETI NA RADIO yake ni dalili za kulinda soko la media zake binafsi ambazo asilimia kubwa ya wateja wake ni Chadema
3. Mbowe amekuwa spidi gavana ya wabunge machari bungeni.
4. Kuvunja ushabiki wa mbowe vs Zitto
5. Zitto kuutaka uwenyekiti uwenda anajua udhaifu mkubwa wa mbowe
Mbowe agombee ukatibu mkuu na ikiwezekana mwenyekiti wa chama apunguziwe sana mamlaka kikatiba.
5. Mbowe kubaki mwenyekiti ni Chama kudumaa kama CUF na Lipumba. Alikimbia sana sasa Pumzi imekata katufikisha mbali.
Vipi Mwenyekiti sasa akiwa GOSBETI LEMA?
Sitaki kumsifia sana sababu mnamjua.
Au TUKIBADILI SURA KIDOGO TUMPE HALIMA MDEE. Ananulika huyu?
Wakisingizia ukanda tumpe VICENT NYERERE. Tusidumae na fikra za Mbowe vs Zitto
Una undugu na josephine?
1) M4C siyo mbinu ya kwenda ikulu? ni watu wangapi kupitia M4C wamefunguka kifikra?
2) Kageukaje speed gavana bungeni kwani yeye ni speaker wa bunge?
Je ndiye aliyemzuia Zitto kuwataja walioficha fedha uswiz?
Hebu weka mifano hai ili uweze kuipa uzito hoja yako. VINGINEVYO UTAKUWA UNAPIKA MAJUNGU TU NA KUENEZA CHUKI BINAFSI.
Tuliemfatilia
Zitto toka awali tuko wazi sana. Hafai kabisa. Alipowatosa wabunge wa
chadema kutoka bungeni, Alivyojinufaisha na ujumbe wa kamati ya madini,
alivyotafuta fedha chafu kuutafuta uwenyekiti chadema na mtu mlopokaji.
Alishasema siasa sio fani yake, akasema sigombei uöngozi wowote chadema
na sitagombea tena ubunge. Huyu sipaswi kumjadili.
Mbowe namwona kama anabusara, mvumilivu na mwanaharakati. Ameweza
kutatua migogoro mingi ya chama bila kukiathiri au kuvua uanachama watu.
Mapungufu ya mbowe yanazibwa na kasoro kubwa za Zitto.
Ninasababu 30 za kumuomba MBOWE ASIWE MWENYEKITI TENA.
1. Wapo wengine wachache wanaweza kama. Halima Mdee, Dr Slaa, Lema na
ata Vicent Nyerere.
2. Mbowe ni mfanyabiashara mkubwa na CHADEMA KUTOKUMILIKI ATA GAZETI NA
RADIO yake ni dalili za kulinda soko la media zake binafsi ambazo
asilimia kubwa ya wateja wake ni Chadema
3. Mbowe amekuwa spidi gavana ya wabunge machari bungeni.
4. Kuvunja ushabiki wa mbowe vs Zitto
5. Zitto kuutaka uwenyekiti uwenda anajua udhaifu mkubwa wa mbowe
Mbowe agombee ukatibu mkuu na ikiwezekana mwenyekiti wa chama apunguziwe
sana mamlaka kikatiba.
5. Mbowe kubaki mwenyekiti ni Chama kudumaa kama CUF na Lipumba.
Alikimbia sana sasa Pumzi imekata katufikisha mbali.
Vipi Mwenyekiti sasa akiwa GOSBETI LEMA?
Sitaki kumsifia sana sababu mnamjua.
Au TUKIBADILI SURA KIDOGO TUMPE HALIMA MDEE. Ananulika huyu?
Wakisingizia ukanda tumpe VICENT NYERERE. Tusidumae na fikra za Mbowe vs
Zitto
Duh kweli JF tuna akili zetu baada ya kuona melody ya kutukana Dr Slaa imebuma unakuja kumkweza Zitto kwa kupitia mgongo wa Mbowe
Unajua nchi hii chama hakiruhusiwi kuwa na vyombo vyake vya habari hata gazeti la uhuru na mzalendo wamiliki wake sio CCM bali ni wana CCM wakiwemo akina Paul Sozigwa kwa hiyo sio rahisi kama unavyosema kuwa na chombo cha chama
Tunawajua kona munayotokea tupo kupambana hatutapumbazwa nchi hii tena kamwe
Mmliki aliyesajili hayao magazeti sio CCM sheria haiko hivyo fahamu hilo basintajibu kila asiyejua UHURU HUITWA "UHURU Gazeti pendwa la chama cha mapinduzi"
leo naamini ntaeleweka.
Marangapi wabunge wa upinzani wakimbana makinda Makinda humuita mbowe ili atulize hali ya hewa. Je Mbowe ndio kazi yake hiyo. Eti anabusara wapi mpaka wachungaji walishatolewa bungeni!
Kamwe usikubali ushabiki wa mtu. Unakumbuka mbowe alibanwa madeni akataka kufilisiwa. Je walitumia mwanya huo kumgeuza spidi gavana?.
Je skendo ya kutaka kuiuzia chadema fuso tatu kwa tsh 500.
Zitto kuung'ang'ania uwenyekiti kunamapungufu mengi kayaona kwa mbowe.
Chama apewe Halima Mdee au Lema au Vicent Nyerere.
Nafikira sahihi ila ka stefano au Yesu lazima wengi mnipige mawe.
leo naamini ntaeleweka.
Marangapi wabunge wa upinzani wakimbana makinda Makinda humuita mbowe ili atulize hali ya hewa. Je Mbowe ndio kazi yake hiyo. Eti anabusara wapi mpaka wachungaji walishatolewa bungeni!
Unakumbuka mbowe alibanwa madeni akataka kufilisiwa. Je walitumia mwanya huo kumgeuza spidi gavana?.
Ni yeye alitaka kukiuzia chama? au chama ndio kilimtaka Mbowe akiuzie hizo Fuso?Je skendo ya kutaka kuiuzia chadema fuso tatu kwa tsh 500.
Kwani uenyekiti Mbowe alijipachika au ni wajumbe walimpigia kura?Zitto kuung'ang'ania uwenyekiti kunamapungufu mengi kayaona kwa mbowe.
Tusubiri tuone kama watachukua fomu kugombea uwenyekiti.Chama apewe Halima Mdee au Lema au Vicent Nyerere.
Mmliki aliyesajili hayao magazeti sio CCM sheria haiko hivyo fahamu hilo basi
Siwezi kusema kitu nisichokifahamu gazeti la UHURU halijasajiriwa kwa jina la CCM thats the fact,nadhani Mbowe alifanya vizuri kuwa na gazeti hata kabla hajawa kwenye active leadership ya chama vinginevyo ingekuwa ngumu kweli kusoma uhuru kila siku na mzalendo tungepofuka macho ila nauliza why now vipi Dt Slaa kawashindaSi kweli kakaangu Uhuru lilisajiriwa toka awali wakati wa chama kimoja. ANGALIA GAZETI LA UHURU JUU. Kunanembo ya bendera ya CCM. Na mnyika alishaomba mchakato wa kuanzisha Gazeti la CHAMA. Sijui nae hajui hilo. Usitetee maslahi ya mbowe. Sasa mbowe anadumaza Chama. Kenya, Zimbabwe, Malawi, Zambia vyama vyote vikuu vinamedia zake ndiomaana kunaushindani. Aya subirini kulaumu TBC NA HABARI LEO 2015. Kama mkulima wa ujima anavyoilaumu mvua wakati kuna mito na maziwa tele.
Siwezi kusema kitu nisichokifahamu gazeti la UHURU halijasajiriwa kwa jina la CCM thats the fact,nadhani Mbowe alifanya vizuri kuwa na gazeti hata kabla hajawa kwenye active leadership ya chama vinginevyo ingekuwa ngumu kweli kusoma uhuru kila siku na mzalendo tungepofuka macho ila nauliza why now vipi Dt Slaa kawashinda
Ok Mi sina nia mbaya na CHAMA NAOMBA UNIELEWE. Na Dr Slaa akiwa mwenyekiti ni sawa pia.
NACHOUMIZWA NA CHADEMA NI KUZIDIWA ATA NA DR NDODI AU MZEE WA MPAKO WANAOTUMIA Mill 300 kwa mwaka kulipia vipindi kwenye redio na Tv mpaka watu wanajua wanachofanya.
Ila chadema kwa dhama izi za .com kutumia mikutano ya hadhara pekee na vicha vya habar vya magazeti "chadema watema cheche sakata la gesi".
Au Slaa aunguluma mnafikiri watu watawaelewa kirahisi
Utakuwa umetumwa na shemeji yako