Rodry kushinda tuzo ya Ballon dor ni kitu Cha ajabu sana na Ile issue ya kuporomoka gorofa karikoo na Mimi ni mzee wa under ground to under ground nikiwa kkoo
inaonekana spurs umeaza kuwangilia Jana Moja kati ya tatizo kubwa alinalo spurs msimu huu ni kuruhusu sana magoli na hii inatokana na style ya mpira wao wanaopenda kucheza spurs akiamua kuja kukushambulia anakuja mzima mzima ndio maana unakuta hata beki Yao kama van de veen na Pedro polo...
We jiandae tu kiakili hii game ipo open sana mnaweza mkafa Goli nyingi au mkashinda vile vile ila beki zako zinafanya sana makosa ya kitoto sana pia ata spurs nyuma wanavuja ovyo
Kocha wa Chelsea msenge we unamchezeshaje caicedo kama full beki na unajua spurs kati Wana sarr,bissuma na uyu dogo muitaliano udogie Yuko anaenda kushambulia kwenye eneo la kati Hilo Hilo caicedo inabidi aingie kati lavia atachoka mapema sana leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.