Recent content by Fereke

  1. F

    Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Nakumbuka siku wanazindua Dira ya Taifa, Rostam alilalamika sana juu ya miradi, tenda na uwekezaji mkubwa kupewa wageni badala ya wazawa ambao mitaji na fedha zinabaki nchini. Akasema Wawekezaji kutoka nje fedha zote na mitaji zinaenda nje. Nakumbuka watu humu humu jamii forum walimsifu sana...
  2. F

    Nafikiria kuachana na mke wangu

    Mimi wangu huu mwaka wa 18 no baby vipimo sote ni wazima, ninamprotect mpaka kufa, nitamlinda, nitamtunza, nitampenda daima no matter what.
  3. F

    Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

    Mitbo ya Fordow ipo mita 800 chini ya Ardhi according to wakaguzi ile taasisi ya ukaguzi wa nyuklia IEA
  4. F

    Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

    Kuna makala mpya imewekwa humu kuwa wote wanaowalaumu au kuwasakizia wenzao wapiganie haki zao wakati wenyewe wamo humu kwa ID fake niii..... hao tunaowasema wapo humu kwa majina halisi na walishapitia mambo magumu kutokana na kujifanya watetezi wetu. Je walipoingia kwenye shida tuliwasaidia...
  5. F

    Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Umegusa hisia zangu, nami nimeumia muda mrefu, juzi nilikuwa safarini nilikereka sana nikasema Lazima niende LATRA nikaongee nao kwamba wanahusika au hawahusiki maana ndio wanaotoa leseni na kusimamia usalama wa abiria.
  6. F

    Je Israel itaishambulia Iran?

    Ila mheshimiwa mchambuzi mbona umebadiri kabisa maudhui ya hii mada, urutubishaji wa nini ya Nyuklia si vema kupotosha kwa kujua au kutojua. Ni urutubishaji wa nishati au madini ya uranium na sio Mabomu ya Nyuklia. Eti my friend unawezaje kurutubisha mabomu ya Nyuklia ili kitokee nini? Iran...
  7. F

    Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Sikupingi hata kidogo maana umetumia akili nyingi na muda ila nimejibu kwa ufupi tuu maana zipo tafiti nyingi za hao hao western wakielezea hizo postive effects baada ya vikwazo. Mfano eneo la technojia fuatilia kupitia ROSTEC wametengeneza na kugundua technolojia ngapi mbadala. Mf. Tuu ni...
  8. F

    Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Sahamani kwa typing errors, nipo eneo lenye misukosuko sana ndio maana nimechangia kwa ufupi sana na shallow.
  9. F

    Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Huuuc uchambuzi ni according to west centric na haujabalance wala kufanya utafiti. Vikwazo vilileta atahari kubwa hasi ambazo ziligeuka kuwa positive effect kwente sekta nyingi.
  10. F

    POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

    Nina mashaka na hizo aina ya ndege kama ni za Mrusi.. Miundo ya Sukhoi inajulikana, miundo ya Mig inajulika pia labda hizo ni outdated mig 21.
  11. F

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Ninyi ni waninga sana yaani mnakubaliana tuu kuwa mtakuwa mnatuma laki nyumbani bila sababu!? Vipato vyenu Vinafana, tuma endapo kuna dharura au ugonjwa tuu mwisho sio kila mwezi. Gombana na hao ndugu zako ndipo utaendelea. Watu ni wakongwe kazini lakini hatuna huo utaratibu wa kutuma kila mwezi...
  12. F

    Ukweli uliofichwa: Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa ya kulevya

    Kasome tafsiri asili ya kigiriki ambayo ndiyo origin ya Agano jipya utajua hiyo Divai iliyobora ni ipi. Kigiriki ni Oivoc au Oinos maana yake alkoholic, na maandiko ya kigiriki yanatamka wazi kuwa waliishiwa oivoc au oinos na si ole oivoc ambayo ndio juice. Juice sio divai au wine. Juice ni...
  13. F

    Kupatanisha wanandoa

    Ni kazi takatifu. Na mimi nimeteuliwa somewhere kuifanya hiyo kazi. Ni ngumu ngumu sana ila ni muhimu.
  14. F

    Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

    Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kumbuka Kikwete alivyopata kazi ngumu sana kipindi chake mwanzoni kuanza kuzirudisha na kuzifufua kwa gharama kubwa. Mf. Reli, Bima, Viwanja vya ndege, mabenki, tanesco, atc etc.
Back
Top Bottom