Recent content by Ferdinand Junior

  1. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Nina mdogo wangu amesoma masomo ya Arts amepata D 2 ya HISTORY na GEOGRAPHY pamoja na C ya KISWAHILI masomo mengine yote kapata F..Je anaweza kupata chuo huko Zanzibar?
  2. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Kwa Matokeo haya, Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani?

    Alichukuwa anasoma Arts so mengne yote F
  3. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Kwa Matokeo haya, Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani?

    Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four : HISTORY D Geography D KISWAHILI C Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani? Course gani anaweza kusoma?
  4. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa Field mkoa wa Dodoma

    Naomba mtu yyte ambye anaejua company, organization o kiwanda chochote kizur dodoma cha kufanyiwa field
  5. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

    Naomba kuuliza kwenye hyo nyumba msing huchukua tofali ngap za nch 6 maana me nitaka kujengea msingi wa mawe...
  6. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

    Thanks... Nimependa mchanganuo wako Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
  7. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    Natumai wazima wana JF. Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
  8. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Business Plan kwenye mazingira ya vyuo kama Mipango-Dodoma

    Thanks kwa ushauri wako
  9. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Business Plan kwenye mazingira ya vyuo kama Mipango-Dodoma

    Wengi wanafanya hiyo business.... Itapendeza zaidi iwe unique
  10. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Business Plan kwenye mazingira ya vyuo kama Mipango-Dodoma

    Habar zenu wana JF. Hope wote wazima. Naombeni ushauri wa biashara nitakayoifanya mazingira ya chuo yenye kupata faida ukiachana na biashara ya kula na kuvaa. Frame ninayo ambayo ni kubwa 2 nimeanza na uwakala. Asanteni
  11. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Kama utaweza kunisaidia naomba mpangilio Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
  12. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Naomba unisaidie mchanganuo Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
  13. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

    Nikihitaj kwa dodoma gharama juu yang o juu yenu.. Suala la usafir na makaz?
  14. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Nakuunga mkono.... Kujenga ni usimamizi mzur na kufatilia na kujua bei za vifaa
  15. Ferdinand Junior

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Je, ninunue simtank nihifadhie maji au nijenge Kalo?

    Unamaanisha Karo la Choo?
Back
Top Bottom